Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huu ni uonevuSi unajua nchi zetu za africa ukikoseana na serikali kinachofuata SI unakijua mshana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uonevuSi unajua nchi zetu za africa ukikoseana na serikali kinachofuata SI unakijua mshana !
Hii nchi sound nyingii, matamko mengi, lakini Kuna siku atapewa wizara mtu Mwenye maono mazuri ya mbaliiMchengerwa anafurahisha genge.
Kilq Waziri anakuja na matamko. Hakuna mikakati wala utekelezaji.
Wasanii tuna maoni mengi mazuri wameyafutika kwenye shajara, lakini utasikia kila siku LETENI KERO ZENU.
Wasitufanyie hadaa
😂😂😂😂😂😂Nyiiie mbuzi ndio mliochangia taifa kufika hapa mkinengue baada ya kupewa kofia za kijani ...
Msitupigie kelele mbwa nyieee