Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Mar 23, 2022 #81 lunatoc said: Si unajua nchi zetu za africa ukikoseana na serikali kinachofuata SI unakijua mshana ! Click to expand... Huu ni uonevu
lunatoc said: Si unajua nchi zetu za africa ukikoseana na serikali kinachofuata SI unakijua mshana ! Click to expand... Huu ni uonevu
C Chandler JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 219 Reaction score 427 Mar 23, 2022 #82 Msanii said: Mchengerwa anafurahisha genge. Kilq Waziri anakuja na matamko. Hakuna mikakati wala utekelezaji. Wasanii tuna maoni mengi mazuri wameyafutika kwenye shajara, lakini utasikia kila siku LETENI KERO ZENU. Wasitufanyie hadaa Click to expand... Hii nchi sound nyingii, matamko mengi, lakini Kuna siku atapewa wizara mtu Mwenye maono mazuri ya mbalii
Msanii said: Mchengerwa anafurahisha genge. Kilq Waziri anakuja na matamko. Hakuna mikakati wala utekelezaji. Wasanii tuna maoni mengi mazuri wameyafutika kwenye shajara, lakini utasikia kila siku LETENI KERO ZENU. Wasitufanyie hadaa Click to expand... Hii nchi sound nyingii, matamko mengi, lakini Kuna siku atapewa wizara mtu Mwenye maono mazuri ya mbalii
ndalibanyo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 415 Reaction score 400 Mar 23, 2022 #83 Malcom Sr said: Nyiiie mbuzi ndio mliochangia taifa kufika hapa mkinengue baada ya kupewa kofia za kijani ... Msitupigie kelele mbwa nyieee Click to expand... ππππππ
Malcom Sr said: Nyiiie mbuzi ndio mliochangia taifa kufika hapa mkinengue baada ya kupewa kofia za kijani ... Msitupigie kelele mbwa nyieee Click to expand... ππππππ