Uchaguzi 2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

Hata aking'ang'ania madaraka wewe kama wewe utamufanya nini utaishia kulalamika tu tena hapa jf, wapinzani tunawaitaji sana ili waweze kuiamsha serikali, kama hakuna kabisa upinzani serikali itajisahau sana, lakini sio kupinga kila kitu wakati jamaa kuna mambo kafanya vizuri tu kama binadamu hata mbowe mwenyewe aliwahi kukili kabisa, ukilinganisha na watangulizi wa magufuli yeye kajitahidi sana. Nilichogundua wa tz sisi niwanafiki sana, ningekua ni mimi nikishinda naanza kua mwizi mkubwa mpaka kipindi changu kinaiisha naacha b.o.t haina kitu maana shukurani ya punda ni mateke. Jamaa kunasehemu kapambana lakini baadhi wanaona hajafanya kitu kabisa.
 
Ni kweli kwamba uwezi kunfanya kila mtu akaridhika ila hii nchi hata aje nani atuongoze tutabaki nyuma siku zote coz tunaishi kwa unafiki unafiki sana... Hamna asiye na mapungufu
 
Back
Top Bottom