Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Ataachia atake asitake , nchi sio yake na mzmlaka yote yanatoka kwa wananchi , soma katiba hapa , ikibidi nguvu ya umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo Waliosema Mwana mpumbavu ni hasara kwa mamaye enzi zao zimepita miaka miaka mingi sana lakini wakati wanasema hayo ni kama walikuwa wanamuona mtu fulani wa siku hizi
Hawaeleweki kama jiwe waoWatano tena?si mlisema hawapati hata kiti kimoja Leo watano tena
Kwenda naye wapi? Yani mimi mimi mimi nichague jiwe [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kwa kuangalia tu uitikio wa wananchi kwenye mikutano ya JPM ni wazi wananchi washaamua kwenda na Magufuli.
Hivi kweli unaweza kulinganisha IQ ya Lissu na Jiwe? You must be joking my friendkuachia madaraka ? hivi unaamini kabisa ccm itashindwa 2020 ? kwa style hii ya kampeni za CHADEMA surely I don't think so
Misukule ya lumumba: Lissu atahamisha mbuga ya burigi na kuipeleka singidaChadema wakishinda hifadhi za taifa zitakuwa mapori ya kuchungia ng'ombe
Je! Anti atakubali kushindwa uchaguzi huuNdugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Akishindwa na nani?? kuna mgombea anayetarajia kumshinda Magufuli kweli!!!!! hebu kuweni serious jamani, baada ya uchaguzi hao wanaojita wagombea wazuri, wanagombea lakini wana tiketi za ndege mkononi tarehe 1novemba watakuwa hawapo. Bahati nzuri watanzania wameshabainiNdugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Ogopa sana mtu kama uyuYeye ndio mzalendo peke yake wengine wote ni matapali
Wagombea wenu ni wa kuokotez, ccm hawajaenguliwa hata upinzani hawajaenguliwa wale wote waliokuwa wabunge, mlipashwa kuwasaidia wagombea wenu wapya, imekula kwenu msilalamike subirini kipigo.Chadema wanayo haki ya kutoamini kushindwa kutokana na utendaji wa tume. ni mgombea yupi wa ccm amewahi kuenguliwa? kwa nini wakurugenzi walikuwa wanawahujumu wapinzani wakati wa mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu? Kwa nini Magufuli aliwahi kutamka kwamba hawezi kukubali mkurugenzi amtangaze mpinzani kwa sababu anamlipa yeye? Kwa hiyo chadema wanasimamia kauli na matendo ya serikali
Ila wanakitaka chama cha kijamii saccosWatu wanajikaza tu kisabuni lkn ukweli hata wanaccm wenenyewe hawaitaki ccm
Unazungumzia tume hii aliyoiteua yeye? Tume wako kama wamemwagiwa majiKwanza inashangaza kuona tume iko kimya kukemea haya, ina maana tume iliteua matapeli na waongo kugombea nafasi ya urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nani kamdanganya jiwe kuwa ataenda mbinguni?Nataka Siku Moja Nikifika Mbinguni Niwe Hata Mfagizi Wa Malaika, [emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2]
Mgombea Nafasi Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kwa Tiketi Ya Chama Dola
Kwa akili yako na mimi siyo mpiga kura? PatheticANASHINDWAJE UCHAGUZI WAKATI ANAWAFIKIA WAPIGA KURA NA LISSU ANAWAFIKIA MASHABIKI NCHI HII WAPIGA KURA HAWAPO MIJINI ANAPOPITA LISSU WAPO MAWILAYANI NA VIJIJINI ANAPOPITA MAGUFURI KAMA UNAKILI USHAELEWA NANI MJANJA
Jikite kwenye hoja!Hivi hoja aliyoleta mtoa mada na majibu yako vina uhusiano wowote?