Neno "huenda" linaonyesha you are not sure..!!Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Igp amejadili ishu zilizopo mahakamani?Neno "huenda" linaonyesha you are not sure..!!
Unaposema ushahidi umeksmilika, maana yake ushahidi huo opeleke mahakamani, na si kwenye Yombo vya habari...
By the way, kesi kama ipo mahakamani, mwingine yeyote huruhusiwi kuizungumzia nje ya mahakama..
No crime without a law. Nulla poena sine lege.Watanzania wanataka ajira na maendeleo sio ujinga na upumbavu wa miaka ya 60 enzi za makaburu.
Kiongozi bora hawezi kuwa na mawazo ya kishetani kutesa wenzie bali ni kuwaletea maendeleo na kudumisha umoja wa kitaifa.
uzalendo hauwezi kuwa ujingaMama mimi ni mzalendo sihitaji kulipwa.
Chawa wa mbowe huyo [emoji23][emoji1787]Acha kujifanya mjinga.
Kijakazi wa Mbowe ErythrocyteChawa wa mbowe huyo [emoji23][emoji1787]
Wewe ni chawa wa Polisiccm?Chawa wa mbowe huyo [emoji23][emoji1787]
Kijakazi wa PolisiccmKijakazi wa Mbowe Erythrocyte
Uonevu popote lazima ufananishwe na mateso ya Mandela, Polisiccm wanafanya kama makaburu walivyokuwa wakiwaonea ANCUnakufuru kumfananisha Mbowe na Mandela
Chama Cha Mazezeta hamna akili, Polisi si mhimili, ila mahakama ni mhimili.Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao....
Wewe shabaha yako ni kumkwamisha mama Samia.Mama alishaonya hizo kesi zenu za kubambika.Leo ni Mboye kesho ni wewe!!!Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Angalia tigo yako nimekutia buku saba yakoJeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...