Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

Kwa kauli ya IGP Sirro justice must be seen and felt. Mbowe atiwe hatiani haraka

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao.

Kauli ya IGP Sirro kuwa Mbowe sio malaika ni kauli nzito. Maana huyu ni mkuu wa Polisi wanaohusika na upelelezi. Kwa ufupi huenda anafahamu A TO Z ya uhalifu wa Mbowe.

Hivyo basi kwa nia njema kabisa haki itendeke. Kesi isikilizwe fasta. Maana ushahidi umekemilika. Baada ya hapo Mbowe na genge lake wapate haki yao. Haki iwafikie watanzania wote.

My take: Justice should be seen and be felt all the time.
 
Watanzania wanataka ajira na maendeleo sio ujinga na upumbavu wa miaka ya 60 enzi za makaburu.

Kiongozi bora hawezi kuwa na mawazo ya kishetani kutesa wenzie bali ni kuwaletea maendeleo na kudumisha umoja wa kitaifa.
 
Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Neno "huenda" linaonyesha you are not sure..!!

Unaposema ushahidi umekamilika, maana yake ushahidi huo upelekwe mahakamani, na si kwenye vyombo vya habari...

By the way, kesi kama ipo mahakamani, mwingine yeyote huruhusiwi kuizungumzia nje ya mahakama..
 
Neno "huenda" linaonyesha you are not sure..!!

Unaposema ushahidi umeksmilika, maana yake ushahidi huo opeleke mahakamani, na si kwenye Yombo vya habari...

By the way, kesi kama ipo mahakamani, mwingine yeyote huruhusiwi kuizungumzia nje ya mahakama..
Igp amejadili ishu zilizopo mahakamani?
 
Watanzania wanataka ajira na maendeleo sio ujinga na upumbavu wa miaka ya 60 enzi za makaburu.

Kiongozi bora hawezi kuwa na mawazo ya kishetani kutesa wenzie bali ni kuwaletea maendeleo na kudumisha umoja wa kitaifa.
No crime without a law. Nulla poena sine lege.
 
Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao....
Chama Cha Mazezeta hamna akili, Polisi si mhimili, ila mahakama ni mhimili.

Kama kesi iko mahakamani zero brain sirro, akae kimyaa, hana nguvu.

Kwanini Mazezeta hamjui mwisho ya mipaka yenu?
 
Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Wewe shabaha yako ni kumkwamisha mama Samia.Mama alishaonya hizo kesi zenu za kubambika.Leo ni Mboye kesho ni wewe!!!
 
Jeshi la polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao...
Angalia tigo yako nimekutia buku saba yako
 
Back
Top Bottom