Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao.
Kauli ya IGP Sirro kuwa Mbowe sio malaika ni kauli nzito. Maana huyu ni mkuu wa Polisi wanaohusika na upelelezi. Kwa ufupi huenda anafahamu A TO Z ya uhalifu wa Mbowe.
Hivyo basi kwa nia njema kabisa haki itendeke. Kesi isikilizwe fasta. Maana ushahidi umekemilika. Baada ya hapo Mbowe na genge lake wapate haki yao. Haki iwafikie watanzania wote.
My take: Justice should be seen and be felt all the time.