Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu.
Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa.
Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi.
Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia ubaya.
Lissu atakuwa mahali salama na pazuri anakula zake kuku kwa mrija.
CCM wana akili nyingi sana aisee.
Hongereni sana wana CCM.
Poleni sana Chadema chama chenu ndo hivyo tena mpaka mwaka 2030..
Msipo angalia inaweza kuwa ndio basi tena