Kwa kelele hizi, itakua kweli houthi wameshusha kisago Israel

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
 
Attachments

  • Screenshot_2025-09-04-16-27-59-570.jpg
    Screenshot_2025-09-04-16-27-59-570.jpg
    230.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_2025-09-04-16-29-28-537.jpg
    Screenshot_2025-09-04-16-29-28-537.jpg
    298.6 KB · Views: 35
  • Screenshot_2025-09-04-16-31-38-335.jpg
    Screenshot_2025-09-04-16-31-38-335.jpg
    306.3 KB · Views: 34
  • Screenshot_2025-09-04-16-32-22-054.jpg
    Screenshot_2025-09-04-16-32-22-054.jpg
    314.5 KB · Views: 32
  • Screenshot_2025-09-04-16-32-35-984.jpg
    Screenshot_2025-09-04-16-32-35-984.jpg
    324.2 KB · Views: 32
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
sawa ila ila majibu ya Israel Huwa anapeleka msiba mzito utasikia kobazi wote wakilia jinai za Israel ila sahizi kobazi ni sherehe kama October 7

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Houth ni Kama mbu sikioni Kwa mzayuni, haachi kuhangaisha sikio Hata ukiziba banzi ukamuua jua atakuja mwingine kuhakikisha usiku hau lali, dawa yake ni fumigation na sio makofi Kama nachofanya mzayuni, Sasa fumigation inahitaji mtaji kazi kwake kusuka au kunyoa anahisi yeye ni Bora zaidi kuliko taijri Saudia na Marekani? Walio kubali yaishe?
 
Hatimae mkono mrefu wa zayuni umemfikia papa Sasa wanae papa amabae hasemi chochote kuhusu mauaji Yao pale Gaza maana yule Benedict alikua msema ovyo anawakemea Sasa wanateleza TU
 
Attachments

  • IMG_20250904_163159_780.jpg
    IMG_20250904_163159_780.jpg
    170.7 KB · Views: 28
Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12😀😀😀
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimai😅😅
Sishangai sana maana najua silaha kuu ya Wafuga Midevu na Majini ni Uongo na kupotosha kwenu si shida!!!

Haijawahi kutokea mimi nikakaa siku tatu bila kuposti kitu maana kipindi hicho ndicho kilikuwa mhimu sana maana Iran alikuwa anachezea kichapo ambacho alipoteza Makamanda wake wabobezi 30+ kwa siku moja na wanasayansi 60+ na katika kipindi hicho cnotę Israel ilitembeza kichapo kwa Iran kiasi ambacho hatukuweza kuliona Jeshi la anga la Iran likifurukuta mbele ya wanaume IDF

Cha kufurahisha zaidi katika vita hiyo ya siku 12 hakuna hata askari wa Israel aliyeuwawa na makombola ya Iran yalilenga maeneo ya raia na kuua raia 28. Majeshi ya Israel huko Iran yaliua watu zaidi ya 1,000 na miundombinu yao ya kijeshi kuharibiwa hii inadhibitisha wazi IDF ni jeshi Imara duniani.
 
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
kWA vile waandishi wa habari wamezuiwa ndani ya Israel.Kipimo chetu cha sindano kuingia ilipokusudiwa ni haya makelele yake kama mapaka usiku juu ya mapaa.
 
Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12😀😀😀
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimai😅😅
Hivi ayatolah kamenei yuko wapi
 
Sishangai sana maana najua silaha kuu ya Wafuga Midevu na Majini ni Uongo na kupotosha kwenu si shida!!!

Haijawahi kutokea mimi nikakaa siku tatu bila kuposti kitu maana kipindi hicho ndicho kilikuwa mhimu sana maana Iran alikuwa anachezea kichapo ambacho alipoteza Makamanda wake wabobezi 30+ kwa siku moja na wanasayansi 60+ na katika kipindi hicho cnotę Israel ilitembeza kichapo kwa Iran kiasi ambacho hatukuweza kuliona Jeshi la anga la Iran likifurukuta mbele ya wanaume IDF

Cha kufurahisha zaidi katika vita hiyo ya siku 12 hakuna hata askari wa Israel aliyeuwawa na makombola ya Iran yalilenga maeneo ya raia na kuua raia 28. Majeshi ya Israel huko Iran yaliua watu zaidi ya 1,000 na miundombinu yao ya kijeshi kuharibiwa hii inadhibitisha wazi IDF ni jeshi Imara duniani.
Unawaweza wavaa kobasi wewe makr waongo sana hawa. Mtu alikua anachagua pa kupiga maeneo muhimu tu
 
sawa ila ila majibu ya Israel Huwa anapeleka msiba mzito utasikia kobazi wote wakilia jinai za Israel ila sahizi kobazi ni sherehe kama October 7

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Naam! Kilio kitasikika sio muda mrefu kwamba "anaua wanawake na watoto na kubomoa miundombinu ya kiraia"- we subiri tu utasikia. Yule mwamba hapapasi bali anakung'uta haswa.
 
Israel akiishamaliza Gaza hao Houthi watapata habari yao.
 
Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
Mkuu wanaume washafanya yao huko Qatar😆😆😆🔥🔥👆🏿👆🏿
 
Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12😀😀😀
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimai😅😅
Mkuu kwema? Mteule kafanya yake Doha. Usijifanye hujasikia.
 
Back
Top Bottom