gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
KabisaNiko pamoja na yeyote anayekataa kuonewa
Nalog off Z
sawa ila ila majibu ya Israel Huwa anapeleka msiba mzito utasikia kobazi wote wakilia jinai za Israel ila sahizi kobazi ni sherehe kama October 7Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
Huyu si bepari la kimarekaniHatimae mkono mrefu wa zayuni umemfikia papa Sasa wanae papa amabae hasemi chochote kuhusu mauaji Yao pale Gaza maana yule Benedict alikua msema ovyo anawakemea Sasa wanateleza TU
Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12πππEcholima1 mwenye bendera za israel kila pembe ya kitanda
Sishangai sana maana najua silaha kuu ya Wafuga Midevu na Majini ni Uongo na kupotosha kwenu si shida!!!Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12πππ
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimaiπ π
kWA vile waandishi wa habari wamezuiwa ndani ya Israel.Kipimo chetu cha sindano kuingia ilipokusudiwa ni haya makelele yake kama mapaka usiku juu ya mapaa.Juzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
Hivi ayatolah kamenei yuko wapiJamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12πππ
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimaiπ π
Unawaweza wavaa kobasi wewe makr waongo sana hawa. Mtu alikua anachagua pa kupiga maeneo muhimu tuSishangai sana maana najua silaha kuu ya Wafuga Midevu na Majini ni Uongo na kupotosha kwenu si shida!!!
Haijawahi kutokea mimi nikakaa siku tatu bila kuposti kitu maana kipindi hicho ndicho kilikuwa mhimu sana maana Iran alikuwa anachezea kichapo ambacho alipoteza Makamanda wake wabobezi 30+ kwa siku moja na wanasayansi 60+ na katika kipindi hicho cnotΔ Israel ilitembeza kichapo kwa Iran kiasi ambacho hatukuweza kuliona Jeshi la anga la Iran likifurukuta mbele ya wanaume IDF
Cha kufurahisha zaidi katika vita hiyo ya siku 12 hakuna hata askari wa Israel aliyeuwawa na makombola ya Iran yalilenga maeneo ya raia na kuua raia 28. Majeshi ya Israel huko Iran yaliua watu zaidi ya 1,000 na miundombinu yao ya kijeshi kuharibiwa hii inadhibitisha wazi IDF ni jeshi Imara duniani.
Naam! Kilio kitasikika sio muda mrefu kwamba "anaua wanawake na watoto na kubomoa miundombinu ya kiraia"- we subiri tu utasikia. Yule mwamba hapapasi bali anakung'uta haswa.sawa ila ila majibu ya Israel Huwa anapeleka msiba mzito utasikia kobazi wote wakilia jinai za Israel ila sahizi kobazi ni sherehe kama October 7
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Mkuu wanaume washafanya yao huko Qatarππππ₯π₯ππΏππΏJuzi na jana palikua na habari za houthi kurusha makombora na drones israel,houthi wakidai airport ya Lod,mji wa haifa vilipigwa
Habari tulizoona ni israel kutungua hayo makombora na drones ikiwemo msaada wa saudi arabia
Leo waziri wa ulinzi israel kawakatia mikwala houthi kwamba watawashushia zahama kama ile plague ya kwenye biblia,dizaini zayuni kachezea sindano takoni
Mkuu kwema? Mteule kafanya yake Doha. Usijifanye hujasikia.Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12πππ
Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu
hakuna Uzi.
WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimaiπ π