Kwa Kichagga zinaitwa "ngoda" sijawahi kuziona popote zaidi ya Moshi. Zinaitwaje kwa kiswahili?

Chanika zipo, tena mti wake umeota makaburini watoto kila Sikh wanaangua....Zinaitwa Ngweda sio ngoda
 
Chanika zipo, tena mti wake umeota makaburini watoto kila Sikh wanaangua....Zinaitwa Ngweda sio ngoda
Labda inatokana na maeneo...una picha yake? Ya tunda au mti wake
 
Hizi sii helimu kweli?? Je zipo sehemu nyingine pia Tanzania???

Hapa Dar wanauza wapi?
hizo sio helimu ndugu, helimu ni kubwa kwa hizi,na pia helimu nyama (tunda) halijashikana na mbegu ya ndani,hizi nyama imeshikana na mbegu ya ndani na inabidi kuimung'unya (sijui kama ni kiswahili hiki)
 
Hizi sii helimu kweli?? Je zipo sehemu nyingine pia Tanzania???

Hapa Dar wanauza wapi?
'Elimu' ni kubwa zaidi na punje zake zinatoka kama ya fenesi.

Dah....zamani sana haya matunda 😔😔
 
umenikumbusha enzi hizo primary school moshi tulikua tunaziita konazi
 

Ngweda, miaka ya tisini huko tulikuwa tunakwenda msitu wa Njoro kufuata hizi makitu na mikongoraaa!!

Ule msitu sijui bado upo vile??
 
Mkuu samahani nikunyooshe kidogo zinaitwa Ngweda mti wake ni mithili ya mti maji tena inaota pembezoni mwa mito ukifika Moshi mjini nenda pale chem chem idara ya maji ipo kama 7 hivi ni matunda murua yenye radha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…