PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Chanika zipo, tena mti wake umeota makaburini watoto kila Sikh wanaangua....Zinaitwa Ngweda sio ngoda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hujui chochote umekuwa mjinga nilidhani kwenye siasa tuHizo zinaitwa tende. Dodoma kuna kipindi zilikuwa nyingi sn
Hahah nimeacha mkuu.Haha acha kukifanya kiswahili kionekane kigumu mkuu. Acha kabisa.
PwaniKwa Lugha ya wapi?
Mkuu umenikumbusha mbali sana ngweda izo ni tamu balaa....
hizo sio helimu ndugu, helimu ni kubwa kwa hizi,na pia helimu nyama (tunda) halijashikana na mbegu ya ndani,hizi nyama imeshikana na mbegu ya ndani na inabidi kuimung'unya (sijui kama ni kiswahili hiki)Hizi sii helimu kweli?? Je zipo sehemu nyingine pia Tanzania???
Hapa Dar wanauza wapi?
'Elimu' ni kubwa zaidi na punje zake zinatoka kama ya fenesi.Hizi sii helimu kweli?? Je zipo sehemu nyingine pia Tanzania???
Hapa Dar wanauza wapi?
Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni.
Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu sababu meno yatauma. Ila ni nzuri sana.
Zina umbo kama la zambarau
Je kwenu zipo? Zinaitwaje?
View attachment 1587998
Mkuu samahani nikunyooshe kidogo zinaitwa Ngweda mti wake ni mithili ya mti maji tena inaota pembezoni mwa mito ukifika Moshi mjini nenda pale chem chem idara ya maji ipo kama 7 hivi ni matunda murua yenye radhaHizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni.
Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu sababu meno yatauma. Ila ni nzuri sana.
Zina umbo kama la zambarau
Je kwenu zipo? Zinaitwaje?
View attachment 1587998
sio zile tangawizi za Rombo, tangawizi ni kubwa na mti wake sio mkubwa kama wa ngwedaRombo zinaita tangawizi
Nna ela kuliko weweYaani hujui chochote umekuwa mjinga nilidhani kwenye siasa tu
ela ndio nini sasa. Mbona unaonekana hukwenda hata primary school? Naamaanisha kuwa: kuandika hujui.Nna ela kuliko wewe
Nimesoma zaidi yakoela ndio nini sasa. Mbona unaonekana hukwenda hata primary school? Naamaanisha kuwa: kuandika hujui.
Hela bila akili ni sawa na panya bukuNna ela kuliko wewe