Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Labda wewe ni mtoto wa juzi. Hivi unawajua Mungiki wewe!?Tufike sehemu tukubali kuna waliofanya vizuri zaidi yetu. Pamoja na mambo mengine, Kenya wana afadhali, siasa za ushindani unaziona, rais na viongozi wengine wana ile political tolerance, utawala wa sheria unauona, taasisi zipo huru kufanya maamuzi. Hii ni hatua kubwa na si ya kubeza.
nitakubaliana na mambo mengine ila sio siasa.Tufike sehemu tukubali kuna waliofanya vizuri zaidi yetu. Pamoja na mambo mengine, Kenya wana afadhali, siasa za ushindani unaziona, rais na viongozi wengine wana ile political tolerance, utawala wa sheria unauona, taasisi zipo huru kufanya maamuzi. Hii ni hatua kubwa na si ya kubeza.
atakuwa hata hajui matokeo marekani yamesababisha vifo vya watu 5 juzi hapo.Siasa za nchi gani duniani hazina walakini, unakuwa kama hujasoma bhana, taja nchi yeyote duniani ambayo siasa zake hazina walakini.
Mkiitwa nyumbu mnamind wakati mpo na akili kama nyumbu
Hii ilitokea mwaka gani?Labda wewe ni mtoto wa juzi. Hivi unawajua Mungiki wewe!?
Mungiki wanaua kila mtu ambaye siyo mkikuyu.
Siasa gani hizi. Au wewe ndio umepevuka juzi.
View attachment 1677011View attachment 1677012View attachment 1677013
Mimi sifuatilii issues za Uganda. Uganda ndio wanafuata za Kenya.Miguna Miguna hahahaahaha.
Kwahiyo wewe unafuatilia issue za Uganda so Uganda ni Superpower!?
Lema hakuondoka TZ kwa hiari yake. Alikuwa anaandamwa na wasiojulikana wa CCM.lema is in Canada by his will.
Miguna Miguna is in Canada forcibly. I saw the other time, security officer, from one of cruel police forces in Afrika, was dragging the learned law brother like a sack of maize.
Hehehe, uwezekano wa mimi kuwa kiongozi mkubwa ni Mkubwa saana kwa Tz, huku tumeshakuwa na Mawaziri wakuu watatu toka kabila la Masai tangu uhuru, hapo Kenya if not Gikuyu sahau kiongozi..
Sema wakikuyu ni wezi sana na Roho mbaya .
kwani kuna wakenya wangapi wamekimbilia Ughaubuni kwa kupitia Tanzania tukianza na wkina Githongo? na wale wa independent electroral and Boundary commission?Geza Ulole game over Naton Jr Venus Star The best 007 joto la jiwe MK254
Nina swali nyeti. Ule wakati Lema alitorokea Kenya, serikali ya Tanzania iliomba kwamba serikali ya Kenya imrudishe Tanzania. Lakini serikali ya Kenya ilikaidi maagizo hayo na kumruhusu kuenda Nairobi kuomba hifadhi katika embassy za kibeberu na mwishowe nchi ya Canada ilimruhusu kuenda kuishi Canada na familia yake. Watanzania wanaamini kwamba wanatulisha kwa hivyo Kenya inaogopa Tanzania. Swali langu ni hili, kama Kenya inaogopa Tanzania basi mbona tulikaidi maagizo yenu na kumruhusu Lema kutoroka na hamkutufanya lolote?
Sisi hatujawahi kusema kwamba nyinyi mnatuogopa. Lakini nyinyi ndio huwa mnatabia hio ya kusema kwamba sisi tunawaogopa.kwani kuna wakenya wangapi wamekimbilia Ughaubuni kwa kupitia Tanzania tukianza na wkina Githongo? na wale wa electroral commission board?
wewe mtu wa CPAK una ujinga mwingi, kuogopa kuna maana nyingi! so ulitaka tuwakanyage ili ku-prove umwamba wetu? stop being irrational!Sisi hatujawahi kusema kwamba nyinyi mnatuogopa. Lakini nyinyi ndio huwa mnatabia hio ya kusema kwamba sisi tunawaogopa.
Hamkutukanyaga kwa sababu hamna huo uwezo.wewe mtu wa CPAK una ujinga mwingi, kuogopa kuna maana nyingi! so ulitaka tuwakanyage ili ku-prove umwamba wetu? stop being irrational!
Ndiyo aliondoka bila hiyari yake, kwa sababu hakuwa na kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato. Hivyo maisha yake yangekuwa MAGUMU. Akaamua kujiongeza kwa kusingizia kutishiwa kuuawa. Muache tu, yeye anadhani kuishi ughaibuni ni rahisi. Sasa ameenda kupambana na baridi. Lazima atakumbuka bongo tu.Lema hakuondoka TZ kwa hiari yake. Alikuwa anaandamwa na wasiojulikana wa CCM.
Wapi? Unaweza kulinganisha shit-hole na developed country? Jamaa atapiga pesa ndefu huko.Ndiyo aliondoka bila hiyari yake, kwa sababu hakuwa na kazi ya kufanya ya kumuingizia kipato. Hivyo maisha yake yangekuwa MAGUMU. Akaamua kujiongeza kwa kusingizia kutishiwa kuuawa. Muache tu, yeye anadhani kuishi ughaibuni ni rahisi. Sasa ameenda kupambana na baridi. Lazima atakumbuka bongo tu.
Wapi? Unaweza kulinganisha shit-hole na developed country? Jamaa atapiga pesa ndefu huko.
Jamaa hajasoma?Hamna hela ndefu wala nini, maana yeye siyo professional. Yeye atategemea asylum rationing.
Muulize alikuwa anafanya kazi gani kabla ya ubunge.Jamaa hajasoma?
Nimuulize nimtoe wapi?Muulize alikuwa anafanya kazi gani kabla ya ubunge.
Nimuulize nimtoe wapi?