Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Labda wewe ni mtoto wa juzi. Hivi unawajua Mungiki wewe!?Tufike sehemu tukubali kuna waliofanya vizuri zaidi yetu. Pamoja na mambo mengine, Kenya wana afadhali, siasa za ushindani unaziona, rais na viongozi wengine wana ile political tolerance, utawala wa sheria unauona, taasisi zipo huru kufanya maamuzi. Hii ni hatua kubwa na si ya kubeza.
Mungiki wanaua kila mtu ambaye siyo mkikuyu.
Siasa gani hizi. Au wewe ndio umepevuka juzi.