Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa serkali.
Jinsi kura zinvyoibwa kupitia daftari la mpiga kura: Unakuta kituo X waliojiandikisha kweli ni watu 100. Lakini kupitia mianya iliyopo ya kuruhusu mifumo ya chama tawala kusimamia uandikishaji wa wapiga kura inafanyika hivi;
Yanaongezwa majina hewa 200. Sasa hata kama wote walojiandikisha kweli (100) watapigia kura upinzani, upinzani hatuwezi kamwe kushinda kwani kuna kura 200 za watu hewa ambazo zimeshaandaliwa na huchomekwa kwenye sanduku kwa ruhusa za maafisa wasimamizi ambao kimsingi ni waajiriwa wa serikali.
Nafikiri sasa mnaelewa kwanini vyama vinahangaika “kuhimiza” uandikishaji na kutoa idadi zisizo na uhalisia za waliojiandikisha.