Kwa kifupi ni kwamba , Nikki Wa Pili hujui kuimba

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi wa mistari kwnye kundi lako kwani walau kwa hilo unaweza kidogo ,huna ulazima wa kuimba.

Binafsi mm ni shabiki wa Kundi lenu toka likiwa N2N mpaka sasa Weusi.
Kila nikisikia ukiiimbia , nahisi ni Underground anaimba , sivutiwi na uimbaji wako,kundi lako linakubeba ila sidhani kama unabebeka.

Hongera sana kwa Joh Makini na G.Nako.(Keep it Up Brothers).

Mwisho kabisa ...Achana na Tweeter,maana unaandikaga vitu ambavyo haviendani na Elimu yako.

Pole kama andiko langu litaleta maudhi kwako.
 
Imba wewe
 
Wabongo roho mbaya.ziba masikio yako basi
 
Tusimshambulie mleda uzi, hebu tuache unafiki, hivi kweli Nikki wa pili ana kipaji cha muziki? Mimi kwakweli nakubaliana na mtoa mada, jamaa hana kipaji, kundi linambeba sana, sio Nikki peke yake, wapo wasanii(wasio na vipaji) ambao wanafanya muziki kiujanja ujanja, sio jambo baya maana wanatafuta riziki, ni afadhali kuliko wangekuwa wezi, lakini hii haiondoi ukweli kwamba hawana vipaji. Na kusema kwamba fulani hana kipaji, haimaanishi kwamba unamchukia(roho mbaya}, japo kweli wapo wenye chuki binafsi.
 
Sijawahi kumuelewa huyu mtu
 
Bora ww umenielewa..
 
Sorry man kwanza umekosea kumweka Nikki N2N huyo alikuwa zake River camp na huyo bro wake ila kiukwel Weusi ndo siwaelew kabisa yaan anza G Nako rudi kwa Jo Makin Alf na huyo Nikki ndo maana hawakumtak Lord Eyez kwa sababu Lord anaimba ngumu ila kwa sasa labda KCK tena ni kiburudani tu Lakin Nikki hamna kitu pale
 
We una kipaji gani..?? Wabongo bana. Mtu hata kutunga sentensi moja yenye vina hawezi, ila anamsema Nikki mwenye nyimbo kadhaa. Na Nikki hafanyi muziki KWA SABABU YA NJAA. Naamin anafanya anachokipenda hata kama si kwa ubora unaotaka wewe.

Yawezekana ikawa ni chuki zako tu, na labda hafanyi muziki kwa QUALITY UNAYOTAKA WEWE....!!!
 
"Sijui nani amakushika akili maana Kuna nikki mbishi na nikki wa pili"
 
Nikki sina bifu na wewe ila nataka nikueleze tu ,huna talent ya kuimba nasema tena " HUNA KIPAJI CHA KUIMBA " , na kama ile mistari unayoimbaga unaitunga ww basi nakushauri baki ukiwa kama mtunzi wa mistari kwnye kundi lako kwani walau kwa hilo unaweza kidogo ,huna ulazima wa kuimba.

Binafsi mm ni shabiki wa Kundi lenu toka likiwa N2N mpaka sasa Weusi.
Kila nikisikia ukiiimbia , nahisi ni Underground anaimba , sivutiwi na uimbaji wako,kundi lako linakubeba ila sidhani kama unabebeka.

Hongera sana kwa Joh Makini na G.Nako.(Keep it Up Brothers).

Mwisho kabisa ...Achana na Tweeter,maana unaandikaga vitu ambavyo haviendani na Elimu yako.
Umetumia vigezo gani kusema Nikki hajui kuimba?

Umetumia vigezo gani kusema Nikki hajui kuimba
 
Back
Top Bottom