Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

Kimsingi majiji yetu yanakosa hadhi ya majiji. tusiwe tunamshambulia tu mleta mada. Tanga is just a town. Mbeya is also just ya town. Dar tatizo late squater na uchafu. Mwanza angalau. Arusha nayo tatizo lake squater. Dodoma is still a town like other towns like Musoma etc. Nchi hii watunga sera na sisi watendaji na raia tungepeleka nguvu kwanza kuimarisha miundombionu kwa amjiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ili zifanane na majiji ya wenzetu kuliko kuwa na majiji kibao ya masifa ambazo ikifika tu usiku wa saa nne hata kupata chakula ni shida. Nenda Tanga na Mbeya usiku wa saa nne tu kama pa kula hujapatafuta na tochi. Mwanza, Arusha na Huduma muhimu ya Chakula na Malazi unaweza kupata muda wowote but tatizo miji hii sehemu kubwa haijapangwa. Hili ndilo linachangiwa uchafu.
 
Ina maana pamoja na Nairobi kuwa na hadhi ya jiji, slam ya kibera na mathare, zinaondoa hadhi yake?
 
Tuwe wakweli bado afrika majiji tunayoita majiji hayana hadhi ya kuitwa majiji,

Ona mfano
Tanga,
Mbeya
Mwanza
Arusha
Dodoma
Dar es salaam,

Kwa ambao bado hamjatembea tembea mtanibishia lakin ukweli jiji inabidi angalau
1.kuwe na miundombinu bora, siyo mvua inanyesha unakuta drainage system zote ovyo, wahindi wanapata pakutapishia,

2. Kubwa zaid jiji inabidi liwe safi na limepangwa vema,

Lakin kwa majiji yetu unakuta slums, uchafu, nyumba kama viberit,

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji ila ni mikusanyiko ya watu tu n na magari katika maeneo kadhaa
Mm ni mzalendo. Ntafanya mambo mawil tu ili niiokoe nchi yng:
La kwanz: Naenda kukushtak kwa Ndalichako, kw7bu ulim-cheat kwny mitihani ya Taifa na akakutunuku vyet japo hukustahil.

La pili: (Km ilo la kwanz halitafanikiwa!) Ntamstak Ndalichako kwa JPM kwa kuwatunuku vyet underqualified Graduands km nyie!
 
Hiyo namba moja ulipowataja "wahindi" umejionesha dhahiri jinsi ulivyo mbaguzi na kuyakimbia majukumu yako kwa kutupia lawama kwengine.

Uhindini ya wapi Tanzania hii wanakotapisha maji yao machafu? Naifahamu uhindini ya Dar kuwa ina mfumo wa majitaka toka enzi za ukoloni. Sasa hapo watapishe nini?

Uchafu uufanye wewe usingizie wengine? Huo ndio ukisikia ushenzi.
Madam Faizafoxy....
 
Dada upo?. Nimuda mrefu sana mpaka tumekumiss. FaizaFoxy
 
Mm ni mzalendo. Ntafanya mambo mawil tu ili niiokoe nchi yng:
La kwanz: Naenda kukushtak kwa Ndalichako, kw7bu ulim-cheat kwny mitihani ya Taifa na akakutunuku vyet japo hukustahil.

La pili: (Km ilo la kwanz halitafanikiwa!) Ntamstak Ndalichako kwa JPM kwa kuwatunuku vyet underqualified Graduands km nyie!
Wewe mtoto wa kiume mbona unaandika kama mtoto wa la 7A, jifunze kuandika bila vifupisho, kwanini uandike "kwa7bu" huu ni upuuzi.
 
Hiyo namba moja ulipowataja "wahindi" umejionesha dhahiri jinsi ulivyo mbaguzi na kuyakimbia majukumu yako kwa kutupia lawama kwengine.

Uhindini ya wapi Tanzania hii wanakotapisha maji yao machafu? Naifahamu uhindini ya Dar kuwa ina mfumo wa majitaka toka enzi za ukoloni. Sasa hapo watapishe nini?

Uchafu uufanye wewe usingizie wengine? Huo ndio ukisikia ushenzi.
Kasomea ujinga huyo, achana naye
 
Shikamoo bibi. Umeadimika. Wasomea ujinga wamekuwa wengi sana siku hizi.
 
Back
Top Bottom