Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

Na huyu tukimhoji vzr atataka kutaja Capetown, Nairobi na London, alimradi tujue amesafiri
HataHata mm nimefika london Reading na Hereford kiukweli ni kuzuri sana sana kama wewe hujafika kimpango wako !!!!kweli sisi hatuna jiji tusidanganyane
 
Watu waliotembelea na kuishi India, watakuambia walichojionea katika Majiji Makuu ya Kule katika masuala ya uchafu...... mf New Delhi, Mumbai n.k
mhindi ndio binadamu chafu chini ya jua amini nakwambia
 
sio wahindi wahindi walikuwapo mda mrefu ilikuwa hakuna uchafu huo mlipopewa nyinyi waswahili nyumba za bure mkaanza uchafu huo
 
Tuwe wakweli bado afrika majiji tunayoita majiji hayana hadhi ya kuitwa majiji,

Ona mfano
Tanga,
Mbeya
Mwanza
Arusha
Dodoma
Dar es salaam,

Kwa ambao bado hamjatembea tembea mtanibishia lakin ukweli jiji inabidi angalau
1.kuwe na miundombinu bora, siyo mvua inanyesha unakuta drainage system zote ovyo, wahindi wanapata pakutapishia,

2. Kubwa zaid jiji inabidi liwe safi na limepangwa vema,

Lakin kwa majiji yetu unakuta slums, uchafu, nyumba kama viberit,

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji ila ni mikusanyiko ya watu tu n na magari katika maeneo kadhaa

kwaiyo enzi za Yesu, Bethlehem haukua mji sbb hakukua na lami, hazikuwepo maghorofa, slums zilikuwepo nk.. ata new york kuna homeless people.. uchafu umejaa na vyote vilivyopo sehemu zingine pia..

unaweza pia waza tofauti zaidi ya hapo..
“Mji ni mfumo wa utawala zaidi kuliko yaliyomo”.
 
Dada za siku, ulikuwa kimya nimefarijika kuona mchango wako jukwaani
Hiyo namba moja ulipowataja "wahindi" umejionesha dhahiri jinsi ulivyo mbaguzi na kuyakimbia majukumu yako kwa kutupia lawama kwengine.

Uhindini ya wapi Tanzania hii wanakotapisha maji yao machafu? Naifahamu uhindini ya Dar kuwa ina mfumo wa majitaka toka enzi za ukoloni. Sasa hapo watapishe nini?

Uchafu uufanye wewe usingizie wengine? Huo ndio ukisikia ushenzi.
 
Uko sahihi mkuu ona kama Dodoma yaani ni upuuzi mtupu ....Dar ndio usiseme fika pale mwanyamala kwa kopa unaweza kupitapita vichoro ukajikuta unaingia chooni
Kabisa
 
HataHata mm nimefika london Reading na Hereford kiukweli ni kuzuri sana sana kama wewe hujafika kimpango wako !!!!kweli sisi hatuna jiji tusidanganyane
Hahaha hahaha nimeipenda hiiiii
 
Kimsingi majiji yetu yanakosa hadhi ya majiji. tusiwe tunamshambulia tu mleta mada. Tanga is just a town. Mbeya is also just ya town. Dar tatizo late squater na uchafu. Mwanza angalau. Arusha nayo tatizo lake squater. Dodoma is still a town like other towns like Musoma etc. Nchi hii watunga sera na sisi watendaji na raia tungepeleka nguvu kwanza kuimarisha miundombionu kwa amjiji ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ili zifanane na majiji ya wenzetu kuliko kuwa na majiji kibao ya masifa ambazo ikifika tu usiku wa saa nne hata kupata chakula ni shida. Nenda Tanga na Mbeya usiku wa saa nne tu kama pa kula hujapatafuta na tochi. Mwanza, Arusha na Huduma muhimu ya Chakula na Malazi unaweza kupata muda wowote but tatizo miji hii sehemu kubwa haijapangwa. Hili ndilo linachangiwa uchafu.
We nae yaani nchi ikoncentrate kuimarisha majiji matatu tu basi,poor reasoning..Kinachotakiwa kusiruhusiwe ujenzi wowote mijini usiofuata taratibu na serikali ipime maeneo yote.Matatizo yote hayo yanatokana na ujenzi holela usiozingatia mipango miji plus urasimu kwa nyie mnaojiita watendaji
Ukiuliza utaambiwa bajeti hakuna ila pesa zinateketea kwa vipaombele vya kipuuzi mf.chaguzi ndogo n.k
 
Mtoa mada hilo mbona liko wazi, ila pesa ambayo inatakiwa iboreshe hayo majiji inatumika hovyo hovyo, mfano kwenye siasa za majitaka na upigaji wa hapa na pale
 
Na bado, siku ukienda Mars Hii Dunia yote utaiona matapishi we mlalahoi.
 
Tuwe wakweli bado afrika majiji tunayoita majiji hayana hadhi ya kuitwa majiji,

Ona mfano
Tanga,
Mbeya
Mwanza
Arusha
Dodoma
Dar es salaam,

Kwa ambao bado hamjatembea tembea mtanibishia lakin ukweli jiji inabidi angalau
1.kuwe na miundombinu bora, siyo mvua inanyesha unakuta drainage system zote ovyo, wahindi wanapata pakutapishia,

2. Kubwa zaid jiji inabidi liwe safi na limepangwa vema,

Lakin kwa majiji yetu unakuta slums, uchafu, nyumba kama viberit,

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji ila ni mikusanyiko ya watu tu n na magari katika maeneo kadhaa

nini maana ya jiji
ukijua hilo ni sawa kusifia kwa mwenzako wakati kwenu ni sawa na mwenzako.hiyo marekani na utajiri wote kuna sehemu hata manzese kuna unafuu
 
We nae yaani nchi ikoncentrate kuimarisha majiji matatu tu basi,poor reasoning..Kinachotakiwa kusiruhusiwe ujenzi wowote mijini usiofuata taratibu na serikali ipime maeneo yote.Matatizo yote hayo yanatokana na ujenzi holela usiozingatia mipango miji plus urasimu kwa nyie mnaojiita watendaji
Ukiuliza utaambiwa bajeti hakuna ila pesa zinateketea kwa vipaombele vya kipuuzi mf.chaguzi ndogo n.k

Jazba za nini? unanitukania nini sasa. wewe si utoe hiyo reosoning yako watu wajadili.
 
Mm ni mzalendo. Ntafanya mambo mawil tu ili niiokoe nchi yng:
La kwanz: Naenda kukushtak kwa Ndalichako, kw7bu ulim-cheat kwny mitihani ya Taifa na akakutunuku vyet japo hukustahil.

La pili: (Km ilo la kwanz halitafanikiwa!) Ntamstak Ndalichako kwa JPM kwa kuwatunuku vyet underqualified Graduands km nyie!
Una uhakika gani kama hata std 7 kafika achilia mbali std 4😅😅
 
mbongo akienda kwa jiran lazima kwao atapaona hapafai
 
Back
Top Bottom