Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

Kwa kifupi Tanzania hakuna jiji, ni mkusanyiko wa watu na magari

Hata nyumba ya kwenu haijakidhi viwango vya kuitwa nyumba,kama unalinganisha na za uzunguni huko utaona yenu ni upuuzi tu.
 
Hiyo
Hata Nairobi siyo proper city, ukienda sehem inaitwa ngara watu wanakunya mjini, ni uchafu, ukienda stard kaloleni, jogoo raod Maeneo yote ya shauri moyo, ni ugolo mtupu, hata nairobi siyo jiji, nenda Buruburu, Kayole sijui, nenda Umoo, hakuna kitu ni uchafu na slums tu, kote huko nimefika, na niapajua vizuri,
Katikati ya jiji la Nairobi watu wanakunya pembeni kule river road, koinange pembeni, kuna gaborone, hivo nimesehma hata nairobi ni mkusanyiko tena wa watu wachafu na wehu huko nairobi na wakora
Hiyo huwa ni dalili moja wapo ya mtu kuingia hedhi uwe makini sana tembea na pedi
 
Yaani mkoa ukiwa na barabara mbili za lami na labda waziri mkuu, rais au makamu anatokea huko basi utasikia rais aupa mkoa wa Simiyu hadhi ya jiji. Ni upuuzi tu wa wanasiasa.
 
Yaani mkoa ukiwa na barabara mbili za lami na labda waziri mkuu, rais au makamu anatokea huko basi utasikia rais aupa mkoa wa Simiyu hadhi ya jiji. Ni upuuzi tu wa wanasiasa.
Hahaha
 
Yaani Tz majiji hamna, Eneo kubwa ambalo linapigiwa kelele Tanzania nzima ni Dar es Salaam sasa dar es salaam mitaa yake inachekesha sana, siku moja nilitoka magomeni makuti kwa miguu nikala boda naitaka pale komakoma mwananyamala yaani ni hatari tupu,
1. Nymba zipo varuvaru mlango wa mbele wa nyumba hii umeelekeana choo cha nyumba nyengine
2. Vinjia sio rasmi watu kupita mara unatokeza uwanjani watu wamekaa uanze kuwachupa chupa
3. Maji machafu watu wanamwaga mara yanakupata ya uso.
4. Saa nyengine inabidi usimame kumpisha mtu anaetembea kwa miguu kwanza apite yeye au upite wewe mana vinjia ni vyembambaaa au mugusane viuno kwa viuno au tumbo kwa kiuno
5. Shida kubwa nyengine niliyoiyona olewako sasa utake kurudi ulikotoka utapotea mpaka utapotea na tena hakuna njia strait wala alama zozote ni tafran tupu
 
Hiyo namba moja ulipowataja "wahindi" umejionesha dhahiri jinsi ulivyo mbaguzi na kuyakimbia majukumu yako kwa kutupia lawama kwengine.

Uhindini ya wapi Tanzania hii wanakotapisha maji yao machafu? Naifahamu uhindini ya Dar kuwa ina mfumo wa majitaka toka enzi za ukoloni. Sasa hapo watapishe nini?

Uchafu uufanye wewe usingizie wengine? Huo ndio ukisikia ushenzi.
Nimecheka nilipoona kakutaja,
Sasa ameamua kukuchokoza huku bila shaka mnajuana.
Vipi, Habari za masiku bibie?
 
Tanzania ni takataka hakuna miji,acha kujifariji
Shida ni hao wanaojiita mipango miji, yaani watu wanaenda kwenye eneo wanaendeleza makazi kama skwata ndo baadaye unawasikia hapa sijui siyo eneo la makazi, mara ooh hapa palitengwa kwa ajili ya mradi wa viwanja elfu mbili vya sijui kitu gani, na blah blah kibao. Watu weusi tuna matatizo mengi, nafikiri kwenye kufanyiana ulozi tutakuwa tunaongoza..
 
Tutafute maana halisi ya Jiji. Angalia kwa makini kama kuna mji uliokidhi vigezo, kama hakuna tutakubaliana na Uzi wako.
 
Back
Top Bottom