Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
English ya kugoogle mkuuKuna paragraph ni pointless and wordness mfano ya 10 kama sikosea mhariri anajaribu kueleza kuwa upinzani unafanya debate freely and openly kuhusu serikali na miradi yake kama bandari, kitu ambacho hakuwa kufanyika kabla ya Samia kuwa rais.
Sijajua mwandishi analenga nini ila kwenye utawala wa kikiwete upinzani ulikuwa huru zaidi kuliko hata wakati huu. Utawala huu bado upo madarakani sioni sababu ya kujinasibu ilihali lengo la andiko lenyewe ni opression kwa watoa maoni.
Bwana umenichekesha π€£π€£π€£Na hapo yawezekana ndiyo amejikunja kwa uwezo wake wa mwisho kabisa.
Google anaandika kiingereza kizuri kuliko hicho bossEnglish ya kugoogle mkuu
Ahahahaha nasikia ali edit mara 5 kabla ya kuitoa officialNa hapo yawezekana ndiyo amejikunja kwa uwezo wake wa mwisho kabisa.
Nakubali kiongoziGoogle anaandika kiingereza kizuri kuliko hicho boss
Mwendawazimu weweNyumbu na haters bwana wakikosa hoja huku wakiwa na wingi wa utoto kichwani huwa wanachekesha sana!!! Kumbe hawa ndo maana wanazidiwa na Diamond aisee!
Haya, hebu kila nyumbu na hater abadilishe comment yake kwenda kikngereza tuone ni kwa umbali gani mwenzetu umepiga hatua! Tadadhali postini tena comments zenu kwa kiingereza........tunasubiriπππ
Kwani tangu lini Nape amekuwa msemaji wa serikali?Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Kwa heshima kuu, watanzania tunakuomba uipost tena hii comment yako kwa English tafadhali!Ndio madhara ya kuwekana kwa connection, hapo imeandikwa kwa kiswahili wakaitafisiri kwa google
Kesi katunga NapeKwani tangu lini Nape amekuwa msemaji wa serikali?
Kuna kitu gani nimepitwa na sikijui?
Mbona Nape yuko mbele sana kwa hilo tukio?
Kudharirishana hukuHii hamuwezi kuikataa
Anahusika, hata kama wengine wanaandika lakini mwisho anaidhinisha yeye, kama hakuona makosa kwenye hiyo barua ana matatizo makubwa zaidi ya KiingerezaKwani tangu lini Nape amekuwa msemaji wa serikali?
Kuna kitu gani nimepitwa na sikijui?
Mbona Nape yuko mbele sana kwa hilo tukio?
Aliwahi kupost picha twitter na waigizaji, caption ikisomeka "A weekend well spended". ππNa hapo yawezekana ndiyo amejikunja kwa uwezo wake wa mwisho kabisa.
Alyeandika na kusaini hiyo barua ndio mwenye matatizo na hapo wametumia translator ya google sio ya kutoka kichwani maana asingeweza kuandika yote hayo. Wakitupia waliyoandika kwa Kiswahili utathibitisha ninachokisema. Viongozi wengi wa serikali hawana weledi na elimu zao ni duni sanaHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?