Yule babu yako katuachia katiba mbovu,katuachia nchi imejaa wajinga wengiKuendelea kumlaumu JKN for anything ni ujinga, ni sawa na kumalumu Babu yako for your shortcomings. Mmekua na Marais wangapi toka yeye? Cheap excuses.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule babu yako katuachia katiba mbovu,katuachia nchi imejaa wajinga wengiKuendelea kumlaumu JKN for anything ni ujinga, ni sawa na kumalumu Babu yako for your shortcomings. Mmekua na Marais wangapi toka yeye? Cheap excuses.
SIDHANI KAMA AMEANDIKA MWENYEWE, AMEANDIKIWA NA DIV 0 KAMA YEYEHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Naona Mufti kuku The Infinity umelike😆😆👆🏿👆🏿🙌🏿👌🏿Duh!
Kina Mkapa, Wilson Mkama, Amed Salim, ni baadhi waliosoma kipindi cha Nyerere, na walikuwa wanajua kizungu sanaWakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Cha hapa na pale.Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Jamaa umekazania kweli 🤣🤣Naona Mufti kuku The Infinity umelike😆😆👆🏿👆🏿🙌🏿👌🏿
Wanafanana tu na bi tozo ndo maan wanajichagua wao kwa waomother dead, father dead now job. Ndicho kilimpeleka huko India Bandugu... Sirikali hii kila kona ni lojolojo tupu...
Madhara ya rushwa ndiyo hayo . Kuwa na watu katika nafasi za utendaji ambao uwezo wao ni hovyo sanaMimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Uliwahi kumsikia Mlugo?Halafu kesho utasikia huyu ni waziri wa elimu.
Sikuwahi kujua kama Nape ana masters!🤔🤔Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Kama Joseph Musukuma ana PhD na aliishia la darasa la 7 unapata picha gani hapo?Sikuwahi kujua kama Nape ana masters!🤔🤔
Duh! ni vizuri kama wewe ulivyolike .Naona Mufti kuku The Infinity umelike😆😆👆🏿👆🏿🙌🏿👌🏿
Hata John Heche tumembeba sana Course za EDUCHE pale SAUT. Kifupi alikuwa kilaza kweli na hata jina alikuwa hatumii hili la John Heche!Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Huyo ndiyo NAPE NAUYEHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?