Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kuendelea kumlaumu JKN for anything ni ujinga, ni sawa na kumalumu Babu yako for your shortcomings. Mmekua na Marais wangapi toka yeye? Cheap excuses.
Yule babu yako katuachia katiba mbovu,katuachia nchi imejaa wajinga wengi
 
Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Kina Mkapa, Wilson Mkama, Amed Salim, ni baadhi waliosoma kipindi cha Nyerere, na walikuwa wanajua kizungu sana
 
Kwa mtazamo wangu, makosa ya lugha ya Kiingereza hapo ni machache sana, labda matatu tu. Ungetuwekea marekebisho ya lugha sahihi iliyopaswa kutumika basi.
 
Mimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Madhara ya rushwa ndiyo hayo . Kuwa na watu katika nafasi za utendaji ambao uwezo wao ni hovyo sana
 
Naomba uonyeshe marekebisho yanavyotakiwa kua kwa sisi tusiojua hii lugha
 
Afisa habari wizarani hakuna au pia nao wamepewa ajiriwa kwa upendeleo na siyo sifa stahiki za weledi wa kuandika, kusoma, kuongea na kufafanua kwa ufasaha katika lugha rasmi za serikali yaani Kiswahili na Kiingereza.
 
Natafuta mantiki na dhumuni la hii barua/notisi siipati kabisa.

Yaani serikali ya CCM inakubali kuwa serikali ya CCM ilizuia wapinzani kufanya mikutano ya wazi.

Hii imekaaje wataalamu wa mambo, kwako mzee wangu Pascal Mayalla tupitishe hapa. Je, kwa mahusiano ya umma limekaaje hili?
 
Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Hata John Heche tumembeba sana Course za EDUCHE pale SAUT. Kifupi alikuwa kilaza kweli na hata jina alikuwa hatumii hili la John Heche!
 
Back
Top Bottom