Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Nape kama ni wewe, next time copy and paste ugoro wako ulioandika weka kwenye chatgpt, iambie iandike in proper English na unaweza kuifanya ndefu au fupi au British or American English, jifunzeni kutumia technology itasaidia muda na mtaeleweka zaidi na kuonekana mko serious