Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Yaani baba wa taifa unamwita jina kama mtoto mdogo. [emoji23][emoji23]Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Angetukana huyuHapo ni cha kuandika kwamba alipata nafasi ya kutosha kujiuliza na kufanya masahihisho, ingekuwa ni KUONGEA uso kwa macho sijui hali ingekuwaje?!.
Ulitaka nimwitejeYaani baba wa taifa unamwita jina kama mtoto mdogo. [emoji23][emoji23]
You are right, the problem is fluency, competence, and correct legal language interpretation of the articles entailed in the IGA dudeNdiyo maana kuna mabishano makali kuhusiana na mjadala wa mkataba wa IGA kati ya JMT na DP World. Mkataba huo uko kwa lugha ya kiingereza. Mabishano yako kati ya wasiojua vizuri kiingereza (akina Nape et al) kwa upande mmoja na wale wanaokijua vizuri kiingereza (akina Mwabukusi, Dr Slaa et al) kwa upande mwingine.
Ni dhahiri hawawezi kuelewana kwani wanazungumza lugha tofauti. Minister responsible for information ....... siyo sawa na Minister of information .....
Mwisho wa mjadala unaweza ukawa si mzuri kwani hawaelewani lugha.
That'sβοΈβοΈ correct English..Nimemwambia chatGPT to fix hiyo heading in proper English, kanipa.....Tanzanian Government's Clarification on Arrest Reports
Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Kama nakuona vile mwalimu wa linguistic.Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Hawezi kuitumia hiyo appMwambieni atumie chatGPT.
Hawezi kuitumia hiyo app
Google translate hiyo, lazima vilaza waingizwe chaka tu.Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Hakika,wakulaumiwa ni hcho kibabu kilichokuwa ni kibinafsi kuliko wanawakeWakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Barua imeandikwa na nape hiyo. Form Four Failure na Waziri wa ajabu kabisa kuwahi kutokeaHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
CCM oyeeeeBarua imeandikwa na nape hiyo. Form Four Failure na Waziri wa ajabu kabisa kuwahi kutokea