Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Ndiyo maana kuna mabishano makali kuhusiana na mjadala wa mkataba wa IGA kati ya JMT na DP World. Mkataba huo uko kwa lugha ya kiingereza. Mabishano yako kati ya wasiojua vizuri kiingereza (akina Nape et al) kwa upande mmoja na wale wanaokijua vizuri kiingereza (akina Mwabukusi, Dr Slaa et al) kwa upande mwingine.

Ni dhahiri hawawezi kuelewana kwani wanazungumza lugha tofauti. Minister responsible for information ....... siyo sawa na Minister of information .....
Mwisho wa mjadala unaweza ukawa si mzuri kwani hawaelewani lugha.
You are right, the problem is fluency, competence, and correct legal language interpretation of the articles entailed in the IGA dude
 
Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye

Kuendelea kumlaumu JKN for anything ni ujinga, ni sawa na kumalumu Babu yako for your shortcomings. Mmekua na Marais wangapi toka yeye? Cheap excuses.
 
Wakumlaumu ni Julias aliona mkijua kingereza mtakuwa wajanjq kuliko yeye
Hakika,wakulaumiwa ni hcho kibabu kilichokuwa ni kibinafsi kuliko wanawake

Pamoja na kujua kiingereza ni kama maji lakin kikaamua kutubana ili tusijue mambo mengi

Nilishangaa mpaka kuona kwenye mahakama za mwanzo kunaandikwa kiingereza,sasa nikajiuliza ilikuwaje kidhungu yule mzee akataka kukiweka kando
 
Wazungu watambue tumetanguliza vilaza mbele, wasije kuelewa kwamba kama huyu ni waziri je wananchi wapoje
 
Back
Top Bottom