MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Sema munguNape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Kuandika kiswahili kunakupa tabu .Ufahulu ndio nini?Kilugha???Ufahulu umeongezeka kwa 175%
Waacheni wao waendelee kupigia sarakasi juu ya meza za ndani ya ukumbi wa Bunge.
Miaka ile hata kama baba ana vipesa vya mboga tatu, wote ilikuwa Kayumba University, labda kama alienda IST kitu ambacho i doubt, English Medium ni za juzi tuuUsikute mzazi wake alikuwa analipa milioni 4 kwa mwaka mtoto asome English Medium.
Somesheni watoto wenu kayumba kisha wawekeeni walimu wa English wawafundishe English kuanzia la kwanza hadi la saba. Huko kayumba wajifunza na skills za maisha
Hili jamaa ni utopolo tupu, debe tupu dadekiHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Acha ujingaHapo tayari CHADEMA imepata agenda wakati CCM iko bize kutetea jimbo Mbarali kwenye uchaguzi mdogo. Upinzani ukiwa unayumbishwa na mambo madogo wataendelea kuilaumu CCM
Nyerere hutuba alikuwa anajiandikia mwenyewe ,nape swala la uhaini kwann hakushika peni mwenyewe akampa mtu achapeMimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Amemkumbuka? Au ndio ameshapata na kampotezea mazima Mseti 😂Nape masters pale Mzumbe alikuwa anafanyiwa mitihani na jamaa mmoja anaitwa Mseti, ni aibu sn ni mtu wa rushwa haswa kichwani ni empty kabisa
Kwaiyo ameshindwa hata kumtumia huyo ChatGPT ili a fix broken yakeNimemwambia chatGPT to fix hiyo heading in proper English, kanipa.....Tanzanian Government's Clarification on Arrest Reports
Unashangaa ndani ya wizara hamna anayejua kiingereza! Na ule msafara wa Magufuli Zimbabwe mbona hakuwepo hata mmoja aliyekuwa anajua kiingereza mpaka ikabidi rais wa Zimbabwe aliyewahi kuishi Tanzania awe mkalimani wa kiingereza na kiswahili, hii ndiyo Bongo ya wavaa suti na tai.ZIna maana ndani ya Wizara nzima, hakuna anayekifahamu Kiingereza vizuri. Aibu kubwa sana hii, kwa nchi ambayo Kiingereza ni first official language, na ndiyo lugha inayotumika kufundishia masomo karibiu yote mara baada ya elimu ya msingi.
Kusema ukweli huwa nafarijika sana kuona watanzania hawajui hiyo lugha, maana tunaonyesha kuwa hatujatawaliwa kiutamaduni wetu.Unashangaa ndani ya wizara hamna anayejua kiingereza! Na ule msafara wa Magufuli Zimbabwe mbona hakuwepo hata mmoja aliyekuwa anajua kiingereza mpaka ikabidi rais wa Zimbabwe aliyewahi kuishi Tanzania awe mkalimani wa kiingereza na kiswahili, hii ndiyo Bongo ya wavaa suti na tai.
Kwanin tusitumie Kiswahili basi?Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viinhereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili