Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Hapo tayari CHADEMA imepata agenda wakati CCM iko bize kutetea jimbo Mbarali kwenye uchaguzi mdogo. Upinzani ukiwa unayumbishwa na mambo madogo wataendelea kuilaumu CCM
 
Usikute mzazi wake alikuwa analipa milioni 4 kwa mwaka mtoto asome English Medium.

Somesheni watoto wenu kayumba kisha wawekeeni walimu wa English wawafundishe English kuanzia la kwanza hadi la saba. Huko kayumba wajifunza na skills za maisha
Miaka ile hata kama baba ana vipesa vya mboga tatu, wote ilikuwa Kayumba University, labda kama alienda IST kitu ambacho i doubt, English Medium ni za juzi tuu
 
Mimi nadhani Mhe. Nape kasaini tu ila draft ya barua imetoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Wizara LAKINI yeye angefanya proof reading kabla ya kusaini. Structure ya barua haitamaniki. Masters?. No thank you.
Nyerere hutuba alikuwa anajiandikia mwenyewe ,nape swala la uhaini kwann hakushika peni mwenyewe akampa mtu achape

Na arejee upya kilichoandikwa ,hivyo ndivyo baba wa TAIFA alifanya ,sikila jambo unafanyiwa
 
ZIna maana ndani ya Wizara nzima, hakuna anayekifahamu Kiingereza vizuri. Aibu kubwa sana hii, kwa nchi ambayo Kiingereza ni first official language, na ndiyo lugha inayotumika kufundishia masomo karibiu yote mara baada ya elimu ya msingi.
Unashangaa ndani ya wizara hamna anayejua kiingereza! Na ule msafara wa Magufuli Zimbabwe mbona hakuwepo hata mmoja aliyekuwa anajua kiingereza mpaka ikabidi rais wa Zimbabwe aliyewahi kuishi Tanzania awe mkalimani wa kiingereza na kiswahili, hii ndiyo Bongo ya wavaa suti na tai.
 
Kusema ukweli huwa nafarijika sana kuona watanzania hawajui hiyo lugha, maana tunaonyesha kuwa hatujatawaliwa kiutamaduni wetu.
 
Binafsi sehemu pekee nilizoona zina makosa ni mbili tu ambapo ya kwanza ni 'TANZANIAN GOVERNMENT RESPONSE' ilitakiwa kuwa 'TANZANIAN GOVERNMENT'S RESPONSE' na sehemu nyingine ni neno government na president yameandikwa kwa kuanza na herufi kubwa yakiwa katikati ya sentence.

Kwa ufahamu wangu, kwingine kote sijaona kosa. Sasa kama niko sahihi, basi wewe mtoa mada pamoja na 90% ya walio'reply hamjui kitu chochote kuhusu lugha iliyotumika (ni weupe kichwani).
 
Back
Top Bottom