Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

Usifananishe lugha hizo na Kiswahili. Wenye lugha hizo wamezifanyia kazi kubwa, kiasi hakuna kitabu kilichoko katika Kiingereza usikute tafsiri yake kwenye Kifaransa, Kichina, Kiarabu, Kiajemi, Kihispaniola nk. Sisi, kwa uvivu wetu hatuna hata vitabu vya maana 1,000 twataka tutumie Kiswahili! Kama kawaida yetu, twataka kuvuna kabla ya kupanda!
Kiswahili kingekuwa lugha kubwa sana kama kwanza tungekifanyia kazi. Leo hii hata siye wenyewe hatuzungumziwala hatuandiki Kiswahili- laisi,wazili, lamani....?!
Niliposema Nape aliongea Kiswahili nilimaanisha Kiswahili sanifu na wala sijaksudia lahaja za Kiswahili wala kiuzi. Na kuzungumza lugha ikafahamika haihitaji lugha hiyo iwe imewekewa vitabu.
 
Achilia mbali akili Nape ni mzinzi na mlevi mno hana maadili hata kidogo!! Ajabu hawa ndio watunga sera za kuifikisha Tanzania kaanani!!
Wenyewe wanajiita wakulungwa, eti baba zao waliifia hii nchiiii, yaani watu vilaza wanapewa nafasi nyeti kwakuwa tu baba zao tu walipigana vita vya kagera, inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom