Usifananishe lugha hizo na Kiswahili. Wenye lugha hizo wamezifanyia kazi kubwa, kiasi hakuna kitabu kilichoko katika Kiingereza usikute tafsiri yake kwenye Kifaransa, Kichina, Kiarabu, Kiajemi, Kihispaniola nk. Sisi, kwa uvivu wetu hatuna hata vitabu vya maana 1,000 twataka tutumie Kiswahili! Kama kawaida yetu, twataka kuvuna kabla ya kupanda!
Kiswahili kingekuwa lugha kubwa sana kama kwanza tungekifanyia kazi. Leo hii hata siye wenyewe hatuzungumziwala hatuandiki Kiswahili- laisi,wazili, lamani....?!