Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Tafuta level zakoHao hapana kwa umri wangu ni kujidhalilisha sijajipata bado lakini mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta level zakoHao hapana kwa umri wangu ni kujidhalilisha sijajipata bado lakini mzee
Bila kusahau MARADHI.Hapo katika kwenda Kwa wahaya hapo sio sehemu sahihi kabisa.
Ni bora atafute MTU smart ambaye anajielewa au akae single.
Kwenda Kwa wahaya inaweza mpatia Addiction, Pamoja changamoto ngingine za kiroho.
Tafuta level zako
Ahahah nishazoea mkuu af kawaidaMdogo angu 😊 pole kwa kupigwa ban
Ahahah nishazoea mkuu af kawaida
una miss concept, wa kuendana nae hato kushurutisha kwenye suala la pesa, huna na atakuelewa.Hao wa kuendana nao ndio balaaa wanataka Hela mkuu
Majukumu ya kazi yamekuwa mengi sanaHahaha.........sio huyo Mzee mwenzetu Mjep amepotelea wapi
Kabisa mkuuTupo pamojaa
Usisubiri kufanikiwa ndiyo utafute mwenza, Kwa kufanya hivyo utapata wengi fake wakiwinda kibunda chako tuMkuu Kwa hekima yako naomba useme lolote kuhusu scenario ya mahusiano na utafutaji kwa vijana mana binafsi naona wanawake WaPo kuturudisha nyuma
Unanishauri Gani mkuu
Msalimie sana, mwambie Wazee wenzake bado tupo Jukwaani tukifurahi na Wajukuu zetu 😜Majukumu ya kazi yamekuwa mengi sana
ZimefikaMsalimie sana, mwambie Wazee wenzake bado tupo Jukwaani tukifurahi na Wajukuu zetu 😜
Dipresheni hiyoHuhuhuuu! Nhoma inogile, tayri hukooo!
🎂🍷
Utakua na mizigo miwiliHapana,atafute wa kuendana nae kwa wakati huo
Akipata pesa hapo ndiyo apambane na maslayqueen
Kabla ya kurusha lawama kwetu subiri uone kama huyu kocha mpya atakubali tununue mechi ili tushinde na kuwachoma sindano/madawa ya kusisimua misuli ya wachezaji wetu ama atakataa hayo mambo kama Gamondi.Mahusiano naona kabisa ni uwekezaji mkubwa unaohitaji Muda PEsa na nguvu
Kijana tafuta njia ya kuondoa hisia zako kama mazoezi
Kwenda Kwa wahaya
Ila Achana na viumbe wanawake katika hatua zako za mwanzo za utafutaji
Hahaaaa! Mambo yanazidi kuchangamka🤣🤣🤣Dipresheni hiyo