Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana.
Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake hajakaa kizembe maana Belarus ameahid kutoa wanajeshi 13,000, na North Korea akitoa 100,000, Russia kwa sasa yeye haitaji msaada wa silaha Bali anahitaji military persons, Iran IPO mbioni nayo kutoa volunteers kama 30000.
Wakuu tuache ushabiki tuombe haya mambo naona yanasambaa kama moto wa petrol, isije ikawa World War 3 inanukia.