idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Hawapeleki hela wanapeleka machuma machuma yanaenda kuunguzwa halafu Urusi anazidi kujimegea utajiri wa matirioni ya dola...Kumbe wanapeleka misaada nikajua Jeshi, mna peleka US$ 5billion mwenzenu kashikilia US$ 12 trillion.
Kinachowauma zaidi mali ambazo wanategemea Ukraine atawakabidhi ili wafidie deni lao zinazidi kunyakuliwa na Urusi.