Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana.

Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake hajakaa kizembe maana Belarus ameahid kutoa wanajeshi 13,000, na North Korea akitoa 100,000, Russia kwa sasa yeye haitaji msaada wa silaha Bali anahitaji military persons, Iran IPO mbioni nayo kutoa volunteers kama 30000.

Wakuu tuache ushabiki tuombe haya mambo naona yanasambaa kama moto wa petrol, isije ikawa World War 3 inanukia.
 
North Korea, Belarus n.k wanajiandaa kwenda Russia? Mbona mapema sana?

Itakuaje siku NATO wakatangaza kupeleka Askari wake kutoka mataifa mbalimbali hapo UKRAINE?

Na kama Russia ana askari karibia milioni mbili nje ya reserve, kwanini apewe msaada mkubwa wa askar namna hii?

Kusema kuwa aneshanusa hatari ya huko mbeleni kupoteza askari zaidi? Au tayari ameshapoteza askari wengi kama wasemavyo vyombo vya magharibi?
 
Hakuna world war 3, zile zama za kuoneshana nani mwenye nguvu zilishapitwa na wakati. Hizo akili zimebaki kwa nchi kama Russia na Korea Kaskazin, mwenzao China ameonesha kustaarabika.

US ameanza na Putin, akitoka hapo yule wa Korea Kaskazin matako yataacha kumcheza maana atajua na yeye hatopona akiendelea na upuuzi wake.
 
Dah kazi IPO kweli bwashee
 
Umenena
 
Think before posting
 
Hao jamaa hawata kubali, wana hasira sana ya kukatiwa gasi. Kwakifupi hao wazungu ni watu wabinafsi sana. utawezaje kumwekea mtu vikwazo vya kiuchumi wakati huo huo mnategemea sana gesi yake kwa kukuza uchumi wenu
 
NATO wapo siku nyingi sana Ukraine
 
Angalia usije ukajikuta umekojoa kitandani utakapo amka
 
Mwogopeni sana mtu mnaemjadili kila siku jinsi ya kummaliza alafu yeye akawa yupo kimya sana
 
Russia ameacha reserve ya silaha na askari anaowategemea ili kupambana na NATO,ndio maana anahitaji wa kawaida wapambane na ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…