Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

Watanyonya nn Sasa ndio hiko kinachowauma maeneo mengi muhimu ya madini ,kiliumo na bandari yamechukuliwa na Russians
Thus why wanayataka hayo maeneo.

Hapo sioni wakiyarudisha, labda kuyafanyia uharibifu tu na siraha zao.
 
Wakati na yeye mrusi anategemea sana kuuza gesi yake kwa wazungu ili apate chochote kitu.
Gesi ni biashara hadimu. Kama ulaya watashupaza shingo, mataifa janja kibao wataichangamkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…