Kwa kikosi Cha Simba kilichosafiri hii ndio 11st yangu kesho

level mlio fika last time ita wachukua miaka 20 mingine kuifikia
 
Yani Ajibu acheze..kina Duncan Nyoni na Peter Banda wakae nje!! Kwa mpira gani wa Ajibu!
 
Mugalu atakuwa big miss

Ndio striker pekee mwenye uwezo wa kukaa na mipira na ku link na viungo.

Midfield inahitaji balance nzuri ya creativity, speed, energy and intensity.

Ningependa timu hii ianze

Asee katika squad lako naomba Dilunga akae sub kidogo nipatie Morrison au Banda sio kama Dilunga ni mbaya ila shida inakuja anavyo tembea na mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…