mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #21
Double striker ndio kinachohitajika hivyo ajib ata act Kama second strikerYani Ajibu acheze..kina Duncan Nyoni na Peter Banda wakae nje!! Kwa mpira gani wa Ajibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Double striker ndio kinachohitajika hivyo ajib ata act Kama second strikerYani Ajibu acheze..kina Duncan Nyoni na Peter Banda wakae nje!! Kwa mpira gani wa Ajibu!
Hata mechi ya kirafiki hawezi kuanzaDouble striker ndio kinachohitajika hivyo ajib ata act Kama second striker
Kama Mimi hiyo pivot ya midfield iko poa.Mugalu atakuwa big miss
Ndio striker pekee mwenye uwezo wa kukaa na mipira na ku link na viungo.
Midfield inahitaji balance nzuri ya creativity, speed, energy and intensity.
Ningependa timu hii ianze
![]()
But kagere hawezi Ku hold mpira.Mugalu atakuwa big miss
Ndio striker pekee mwenye uwezo wa kukaa na mipira na ku link na viungo.
Midfield inahitaji balance nzuri ya creativity, speed, energy and intensity.
Ningependa timu hii ianze
![]()
Ndo huyo Dunkan Nyoni hapo namba saba, anajua kutingisha jago huyo mwamba.Hapo kwenye Nyoni awe Duncan. Ni play maker na game changer.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
App gani hii mkuu.!!?Wazo langu hili
View attachment 1976627
Kagere anatafuta nini humo?
Kagere ndio best finisher kwenye timu, 2 chance 1 goal.But kagere hawezi Ku hold mpira.
App gani hii mkuu.!!?
Kwenye tactics za away Kagere hawezi kutudaidia. Kagere anafaa sana tukiwa na double strikers.Kagere ndio best finisher kwenye timu, 2 chance 1 goal.
Bocco 4 chance, 1 goal
Mugalu 5 chance, 1 goal
Angle yangu ilikuwa unapokuwa away hutengenezi nafasi nyingi za wazi hivyo unahitaji mtu clinical mbele ambaye 1 chance inatosha kupata matokeo.Kwenye tactics za away Kagere hawezi kutudaidia. Kagere anafaa sana tukiwa na double strikers.
Maana yake tucheze either 4-1-3-2
Or 4-4-2
4-1-3-2Kagere ndio best finisher kwenye timu, 2 chance 1 goal.
Bocco 4 chance, 1 goal
Mugalu 5 chance, 1 goal
Kwa upande wangu nafikiri Kagere anafaa sana tukiwa na lengo la kushambulia. But kwa tactics za kuzuia Kagere uwezo wake wa Ku hold mpira ni mdogo.Angle yangu ilikuwa unapokuwa away hutengenezi nafasi nyingi za wazi hivyo unahitaji mtu clinical mbele ambaye 1 chance inatosha kupata matokeo.
Bocco, kama Mugalu ana tabia ya kupoteza nafasi nyingi za wazi.
Option nyingine ni kumtumia mtu kama Duncan au Mhilu kama false 9.
Toa Kagere Ingiza Kanoute kama tunapata goli la faster.
SawaKwa upande wangu nafikiri Kagere anafaa sana tukiwa na lengo la kushambulia. But kwa tactics za kuzuia Kagere uwezo wake wa Ku hold mpira ni mdogo.
Kagere huwa ana waka zaidi tukiwa na double strikers. Tatizo linatokea kuwa tunaua viungo, then inakuwa rahisi kwa wapinzani ku dominat game.
So ukishika kiungo unawapata wakati mgumu mabeki. Kwa hiyo kwa upande wa away ni kuwa na striker anayeweza Ku hold mpira kisha tunajaza viungo.
Mzee maisha duniani ni kula, kunywa na kufurahi. Mambo mengine utajitesa tu Mzee. Tuache na uhuru wetu kama tulivyokuacha na Uhuru wako.La ! Watanzania katika mambo tunayoyaweza ni kuchambua Soka,katika kila Watanzani 10, 2 ni wachambuzi wa Soka!😋
Nina wasiwasi ndio maana hatuna makocha weledi!
But Mzee Mugalu ni bonge la striker.Sawa
Kitu muhimu zaidi ni kuhakikisha timu haipotezi balance kwenye midfield na huko mbele kuwa na mtu ambaye ana uwezo wa kukaa na mipira na kulink vizuri na viungo.
Lakini kama tukiweza kudominate game na kuinamisha uwanja, ndani ya box atahitajika clinical striker ambaye hatahitaji nafasi nyingi kufunga goli.
Hapa ndio shida ilipo, hatuna striker anayeipa timu kila kitu, kila striker tuliye nae ana ubora wake na mapungufu yake 🤣🤣
Kwani Bwana Mchambuzi was Soka,Mimi Nina shida nakula,nakunywa na pia nafurahia uchambuzi wenu!Mzee maisha duniani ni kula, kunywa na kufurahi. Mambo mengine utajitesa tu Mzee. Tuache na uhuru wetu kama tulivyokuacha na Uhuru wako.