Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Brazil ya Tite siyo Scholari 2014Na hakibebi kikombe ...mark my words. Wameshajiexpose too much....atakuja mzee wa Mercedes Benz na VW atabeba....wazee wa kimya kimya ....sikujui hunijui...but cheza mbali kabisa na Mjerumani....ni mtendaji na hana kelele zenu.
England hakuna timu pale....usidanganyike na EPL....Kama shida ni majina kwenye vikosi argentina hajawahi kuwa na kikosi cha kawaida lakini mwisho wake kila siku anapigwa na germany..
Labda kama umeangali sababu zingine maana kama majina kuna timu ni balaa , kawacheki france,belgium,spain, england na argentina upne wanavyotisha kimajina
Deschamps kamtema. Yeye na BenzemaDembele vp?
Timu anapanga Tite siyo mwanzisha uzi.....Kwa beki hzo mtapigwa nyingi sana unawekaje wazee wote
Ww ndio unajua mpira kabisaNa hakibebi kikombe ...mark my words. Wameshajiexpose too much....atakuja mzee wa Mercedes Benz na VW atabeba....wazee wa kimya kimya ....sikujui hunijui...but cheza mbali kabisa na Mjerumani....ni mtendaji na hana kelele zenu.
Mkuu umemuona vizuri mjeruman? Ana vikosi kama vitatu vyote vinaweza fika nusu fainali.Madhaifu yao wajerumani yanajulikana muda huu, bora ungesema ufaransa kidogo
Ni Wakati Wa Messi kubeba kombe la Dunia na Argentina
Au Neymar na Brazil yake
Au De Gea ambae atafungwa goli moja tu mashindano yake na Spain Yake
Mkuu umemuona vizuri mjeruman? Ana vikosi kama vitatu vyote vinaweza fika nusu fainali.
Hawa vitukuu wa hitler wako vizuri mzee.