Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Mleta thread utakuwa tu na mahaba na Brazil...

Pamoja na kuwa Brazil wana kikosi ambacho sio cha kubeza lakini bado wanasumbuliwa na mfumo wa kiuchezaji, na ubinafsi umewazidi...

World Cup ijayo itakuwa ngumu sana kuna timu nyingi nzuri mf Belgium, France, Croatia, Germany, Mexico
 
Haki tutakutoa humu kuwa na akiba ya maneno boss matokeo mfukoni sikuhz hakuna
 
Najua England sio timu ile... ila ina wachezaji maarufu
Umaarufu wenyewe pia ni wa kuokotaokota....

Kama walishindwa kufanya la maana wakiwa na wenyewe wanaiita golden generation ya kina Gerald, Lampard, Rio, Rooney, Owen......kwa sasa ni wasindikizaji tu....

England kelele nyingi kama bongo....mpira unachezewa mdomoni...
 

Mshikaji anaonekana ana mahaba sana na hao sharobaro___ngoja tuone kama atajitoa labda abadili ID.tutamletea kikosi cha Argentina kilichosheheni wazuri zaidi ya hao mayai. Sema hatukupataga bahati ya makocha.
 
Mkuu embu nipangie kikosi cha ujerumani then chukua displine plus hardwork alafu njoo uniambie ngapi ngapi wakikutana.
 
Mshikaji anaonekana ana mahaba sana na hao sharobaro___ngoja tuone kama atajitoa labda abadili ID.tutamletea kikosi cha Argentina kilichosheheni wazuri zaidi ya hao mayai. Sema hatukupataga bahati ya makocha.

Mkuu ndio maana hapo juu nimezungumzia Displine na hardwork ya ujerumani ila kifupi ya wazungu. hiyo brazil hawana hii kitu na almost timu zote za huko hata Argentina hawana.
 
Dan Alves umri.Ujeruman atalibeba tena.Timu yao ya B ilibeba kombe la Mabara!!
 
Mkuu hapo inshu ni co-ordnation ya timu ikishindkana utawaona vimeo tu pia kumbuka mpira wa leo mbinu zina mata zaid
Kumbuka Greece walivyochukua euro
 
Mashindano yakifanyikia Ulaya, Brazil sikumbuki lini walichukua ubingwa wa Dunia.......Labda 1958, michuano ikifanyikia Sweden! Mnikumbushe maana huu uzee nao......ni majanga!!
 
Kikosi in kizuri lakini wakikutana na Germany wanakula tatu bila kama wametulia
 
Wanachukua kombe hawa
 
Kwa muda wa huku kwetu Tanzania litachenzwa saa ngapi???
 
Soon nitawaletea Kikosi cha ARGENTINA kilichosheheni players wazuri__
 
Yaani wewe, acha mpira na toka kabisa jamii forum , Ujerumani Bingwa, time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…