Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

Mbwa sana hizi zinazoongoza hili taifa la vilema wa akili ,zimeshaona mifuko ya jamii kama pensheni na Bima za afya ndio sehemu za kujichotea pesa za bwerere na kwenda kufuja na kufanya kila aina ya upumbavu mwingine ,
Siku si nyingi hata hao wanaolipwa pensheni malipo yatasitishwa na ndipo akili zitawakaa vizuri na kuona kuwa ni wajibu wenu kuiwajibisha serikali kwa kila hatua ,
Kinachoendelea NHIF ni buncruptcy na ndicho hicho hicho hata kwenye hiyo mifuko ya pensheni kinachoendelea

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nini maana au Kazi ya Pension ?..., Ni kama vile Bima huwezi kulalamika kwamba sijaugua sana kwahio Pesa yangu sijaifaidi au nimewekea Bima nyumba yangu miaka 100 haijawahi hata kuungua....

Pension ipo pale ili uzeeni mtu nguvu zikikutupa angalau upate chochote na usiwe mzigo kwa jamii Sio Uwekezaji wa Pesa ili upate Faida
 
Acheni swaga basi,labda ujinga wangu kwani hicho KIKOKOTOO walimu wamo kweli[emoji848].
Mnatuzuga tu,by the way kama ulishindwa kufanya vya maana Kwa take home basi hataweza chochote kile.

Serikali imegundua wastaafu wanakufaga mapema Kwa presha ya mzigo au kijicho Cha waliomzunguka Kwa kuona ana mpunga wa uzeeni.

Siku akifa,hela itatoka yote kwenye mirathi.

So,naona kama wameamua kunyoosha pande zote mbili.
Acheni mstaafu aendelee kulipwa akiwa home,sio apewe zote matokeo yake anaanza kuhaha afanye Nini.
Ndo unakuta anakimbilia kujenga majengo,biashara,kilimo,wakati hivyo vituo hana uzoefu navyo.
Kufumbua macho zimeisha,anakufa Kwa presha maana hana pakushika.

Ukishindwa kumeneji takehome basi wewe ni hakuna kitu.

Serikali Iko sahihi kabisa,maana mnastafu mkiwa vilema wa fikra mnaanza kutia huluma mitaani.

OVER.
Kumbe wafanyakazi WA nchi hii ni hamnazo!!!Wanapangiwa jinsi ya kuendesha MAISHÀ.Ndo maana hatuna maendeleo makubwa.
 
Kumbe wafanyakazi WA nchi hii ni hamnazo!!!Wanapangiwa jinsi ya kuendesha MAISHÀ.Ndo maana hatuna maendeleo makubwa.
Khahahahahahaha we ulidhani Kuna watu au.

Wanacholinda ni kamshahara tu,maana ndo vilema katika Nchi yetu kama hujui.

Mtumishi unakuta,akiachishwa kazi na kifo hapo hapo jiulize.
Wengi wao,akiajiriwa ineisha hiyo.
Nchi kuja kuendelea Bado Sana.
Wangeiga mfumo wa Nchi zilizoendelea ama zinazoendelea.

Sekta binafsi ndo inayokuza uchumi,na sio Serikali.
Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi tu ikiwa ndo usimamizi mzuri.

Ilitakiwa watumishi kufanya kazi Kwa mikataba.
Hapo wangejituma kweli kweli.
Lakini mtu anaajiriwa na mkataba unaonyesha mpaka mwaka wa kustaafu🤔.
Unategemea mtumishi huyo ajitume kweli.
Mfano mzuri ni kwenye Shule Vyuo binafsi angalia jinsi watumishi wake wanavyohaha kuhakikisha Kila kitu kinaenda sawa.
Njoo Shule na Vyuo vya Serikali.

Mwalimu anampeleka mtoto wake private wakati yeye ni mwalimu wa shule za Serikali.
Acha iwe vile Serikali inaona yafaa,Kwa maana ndo vilema vyake hivyo 🤣🤣🤣🤣
 
Mjinga wewe,Sasa mstaafu akifa yanakuhusu Nini??
Ndio mjinga Mimi.
Kiufupi wastaafu wanastaafu wakiwa vilema wa fikra.

Mstaafu kufariki Kwa presha ya maisha kwamba atafanyaje hela ineisha na hana pakushika kwangu mm haijakaa sawa.
Kwa maana mazoea mabaya.
Hivyo kupewa kidogo kidogo kama inafaa.
Alishindwa kumeneji takehome ataweza ya VAAP😅😅😅😅.
Same time tufikilie.
Kama wewe una akili mtambuka basi jua mpo 100,ila wenye kujiongeza hamzidi 15🙏
 
Mchango wa hovyo sana huu, mstaafu akipewa pesa yake ikaila imaisha inakuhusu nini,? Leo ccm wanajifanya wanapenda wastaafu , ujinga mtupu wapeni pesa zao acheni wizi
😂😂😂😂😂
Mkuu hao hao ndo wanaoiwezesha Ccm kuendelea kutawala.Wao na ccm ni damu damu.
Ukinikandia mm unanionea tu mkuu.

Acha wakomae tu,maana hawasemi bali wanapiga vifijo na ndelemo.
Ila wanalalamika gizani tu.
 
Kikokotoo ni pigo kubwa sana kwa wafanyakazi
 
Kwa maelezo hayo mfumo wa pension ni ‘defined benefit’ scheme, with 33% ‘commuted option’. Wewe unachangia asimilia gani ya mshahara wako kila mwaka na mwajiri asilimia ngapi? Ujaelezea hayo.

Hata hivyo hizo ndio hesabu za ‘defined benefit’ pension kote duniani sio Tanzania tu, well almost (tofauti, labda kwengine pension is for life).

Serikali labda iruhusu mashirika yatakayowapa ‘defined contribution schemes’ watu wapate hizo option wanazotaka za ‘drawdowns ya hela zote au kupata annuity’ muone madhara ya pension funds za hovyo kama Enron. Vinginevyo utaratibu huo aupo kwenye ‘defined benefit schemes’.

Sasa mkilitewa hizo pension mnazotaka watu wakienda kuwekeza hela zenu kwenye investment za hovyo zikapotea hakuna wakumlaumu pia.

Shida ya watanzania ni kupenda kujazana upepo kama kwenye zile mada za UTT Amis ukisoma mule watu wanavyopiga hesabu zao za marejesho na maelezo yao ya risk appetite unajiuliza hiyo mutual fund ina operate kama zingine duniani au hii ni special na ya kipekee duniani.
Umeandika mengi, ila ni upupu mtupu usio na muelekeo wowote. Mfumo wenyewe wa pension tumekopi huko Magharibi unapofikiria hawajui vizuri.
 
Serikali ya CCM imefanya vibaya sana ku monopolize sector ya pension. Ilitakiwa kuwe na mifuko ya kisekta au kutaaluma ya pension na hata ya binafsi inayofanya ushindani kibiashara halafu raia wachague wenyewe mfuko wa kujiunga nao.
 
Pensheni ni scam na wizi wa waziwazi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Hivi hesabu hizi zinawagusa Wanajeshi na polisi?
Kisha wako kimya tuu wanangoja wakastaafu na kurudi kijijini au kuishi mjini na kuwa night watchmen wa vibaka wa CCM?
HILI LIMBWATA SIJUI WALILITOA WAPI HAWA CCM!
 
Umeandika mengi, ila ni upupu mtupu usio na muelekeo wowote. Mfumo wenyewe wa pension tumekopi huko Magharibi unapofikiria hawajui vizuri.
Wapi nimesema huko magharibi hawajui vizuri? Zaidi ya kuelezea approach mbili tu pensions schemes.

Mmoja ni stable ambao malipo yake ni uhakika huo ndio serikali inaowapa wafanyakazi. Mwingine ni risky malipo yake sio guarantee na hela yote inaweza potea huo ndio mfumo unaoweza lipa hela yote muda ukifika.

Mwisho wa siku pension funds zote lazima zizungushe hela yao mmoja mwajiri yupo tayari kulipia pension ata investment ikipata hasara, mwingine mwajiri ahusiki hela ikipotea.

Serikali ya Tanzania ina wadekeza sana watumishi, dawa yao hawa ni kuruhusu mifuko itakayowapa hayo malipo wanayotaka wakistaafu wabebe hizo risk wenyewe hela ikipotea ndio wajue kumbe kuna risks kwenye hayo mambo. Watumishi wa umma wao wanaona kila kitu rahisi tu kwenye hii dunia.
 
Nifanyie hesabu:

Mshahara 2,800,000 kukaa nao miaka mitano
Miaka 31
 
Nifanyie hesabu:

Mshahara 2,800,000 kukaa nao miaka mitano
Miaka 31
Hesabu ndefu

Mshahara wa mwaka = (2800000x12)
Time benefit = 12.5 years
Years of contribution = 31
Commuted (paid lump sum) = 33%

Annual Entitlement = (2800000x12)x 31 x 1/580= 1,795,862

Total entitlement = 1795862 x 12.5 = 22,448,276

Payable lump sum = 22448276 x 0.33 = 7,407,931

Remaining pension for 12.5 years = 22448276 - 7407931 = 15,040,345

Kwa mwaka = 15040345/12.5 = 1,203,228

Pension kwa mwezi = 1203228/12 = 100,268

Shida kubwa ni hayo malipo 1/580 (0.17%) of career average revalued earnings (CARE) ni ndogo sana fair ni 1-2%. Hayo sasa madhara ya kuchezea hela kwenye kufanya investments mbofu mbofu.
 
Back
Top Bottom