ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nisaidie kupiga napata ngapi Mimi Nina mshahara milioni 5, muda miaka 34
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi Hadi Kizazi Mpaka WaisheHii ndio legacy ya Jiwe.
Mleta mada ameweka formuła ni kitu kiłę kiłęNisaidie kupiga napata ngapi Mimi Nina mshahara milioni 5, muda miaka 34
Lazima hujazidisha Kwa 10, kwenye figureHesabu ndefu
Mshahara wa mwaka = (2800000x12)
Time benefit = 12.5 years
Years of contribution = 31
Commuted (paid lump sum) = 33%
Annual Entitlement = (2800000x12)x 31 x 1/580= 1,795,862
Total entitlement = 1795862 x 12.5 = 22,448,276
Payable lump sum = 22448276 x 0.33 = 7,407,931
Remaining pension for 12.5 years = 22448276 - 7407931 = 15,040,345
Kwa mwaka = 15040345/12.5 = 1,203,228
Pension kwa mwezi = 1203228/12 = 100,268
Shida kubwa ni hayo malipo 1/580 on career average revalued earnings (CARE) ni ndogo sana.
Figure ipi? Formula si mleta mada amekupa unaweza piga na wewe hizo hesabu.Lazima hujazidisha Kwa 10, kwenye figure
Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbuaAcheni swaga basi,labda ujinga wangu kwani hicho KIKOKOTOO walimu wamo kweli🤔.
Mnatuzuga tu,by the way kama ulishindwa kufanya vya maana Kwa take home basi hataweza chochote kile.
Serikali imegundua wastaafu wanakufaga mapema Kwa presha ya mzigo au kijicho Cha waliomzunguka Kwa kuona ana mpunga wa uzeeni.
Siku akifa,hela itatoka yote kwenye mirathi.
So,naona kama wameamua kunyoosha pande zote mbili.
Acheni mstaafu aendelee kulipwa akiwa home,sio apewe zote matokeo yake anaanza kuhaha afanye Nini.
Ndo unakuta anakimbilia kujenga majengo,biashara,kilimo,wakati hivyo vituo hana uzoefu navyo.
Kufumbua macho zimeisha,anakufa Kwa presha maana hana pakushika.
Ukishindwa kumeneji takehome basi wewe ni hakuna kitu.
Serikali Iko sahihi kabisa,maana mnastafu mkiwa vilema wa fikra mnaanza kutia huluma mitaani.
OVER.
Ujinga wangu uko wapi labda mkuu🤔.Nada inasemaje kwani.Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbua
Ujinga wangu uko wapi mkuu,au umeelewa Uzi inasemaje na Mimi nimekoment nn labda.Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbua
Personal attack inakusaidia nn? Kwani kikokotoo ni cha walimu tu?Ndio maana kuna Mwl mmoja ni Mkuu wa Shule yupo Mkoa fulani Kaskazini siku hizi kapoa kawa na heshima sana sababu target yake kubwa ilikuwa kwenye hayo mafao ya kustaafu ili awatambie majirani zake sasa tangu story na uhalisia wa hiki kikokotoe kitoke naona kawa baridi sana.