Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

Mbwa sana hizi zinazoongoza hili taifa la vilema wa akili ,zimeshaona mifuko ya jamii kama pensheni na Bima za afya ndio sehemu za kujichotea pesa za bwerere na kwenda kufuja na kufanya kila aina ya upumbavu mwingine ,
Siku si nyingi hata hao wanaolipwa pensheni malipo yatasitishwa na ndipo akili zitawakaa vizuri na kuona kuwa ni wajibu wenu kuiwajibisha serikali kwa kila hatua ,
Kinachoendelea NHIF ni buncruptcy na ndicho hicho hicho hata kwenye hiyo mifuko ya pensheni kinachoendelea

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nini maana au Kazi ya Pension ?..., Ni kama vile Bima huwezi kulalamika kwamba sijaugua sana kwahio Pesa yangu sijaifaidi au nimewekea Bima nyumba yangu miaka 100 haijawahi hata kuungua....

Pension ipo pale ili uzeeni mtu nguvu zikikutupa angalau upate chochote na usiwe mzigo kwa jamii Sio Uwekezaji wa Pesa ili upate Faida
 
Kumbe wafanyakazi WA nchi hii ni hamnazo!!!Wanapangiwa jinsi ya kuendesha MAISHÀ.Ndo maana hatuna maendeleo makubwa.
 
Kumbe wafanyakazi WA nchi hii ni hamnazo!!!Wanapangiwa jinsi ya kuendesha MAISHÀ.Ndo maana hatuna maendeleo makubwa.
Khahahahahahaha we ulidhani Kuna watu au.

Wanacholinda ni kamshahara tu,maana ndo vilema katika Nchi yetu kama hujui.

Mtumishi unakuta,akiachishwa kazi na kifo hapo hapo jiulize.
Wengi wao,akiajiriwa ineisha hiyo.
Nchi kuja kuendelea Bado Sana.
Wangeiga mfumo wa Nchi zilizoendelea ama zinazoendelea.

Sekta binafsi ndo inayokuza uchumi,na sio Serikali.
Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi tu ikiwa ndo usimamizi mzuri.

Ilitakiwa watumishi kufanya kazi Kwa mikataba.
Hapo wangejituma kweli kweli.
Lakini mtu anaajiriwa na mkataba unaonyesha mpaka mwaka wa kustaafu🤔.
Unategemea mtumishi huyo ajitume kweli.
Mfano mzuri ni kwenye Shule Vyuo binafsi angalia jinsi watumishi wake wanavyohaha kuhakikisha Kila kitu kinaenda sawa.
Njoo Shule na Vyuo vya Serikali.

Mwalimu anampeleka mtoto wake private wakati yeye ni mwalimu wa shule za Serikali.
Acha iwe vile Serikali inaona yafaa,Kwa maana ndo vilema vyake hivyo 🤣🤣🤣🤣
 
Mjinga wewe,Sasa mstaafu akifa yanakuhusu Nini??
Ndio mjinga Mimi.
Kiufupi wastaafu wanastaafu wakiwa vilema wa fikra.

Mstaafu kufariki Kwa presha ya maisha kwamba atafanyaje hela ineisha na hana pakushika kwangu mm haijakaa sawa.
Kwa maana mazoea mabaya.
Hivyo kupewa kidogo kidogo kama inafaa.
Alishindwa kumeneji takehome ataweza ya VAAP😅😅😅😅.
Same time tufikilie.
Kama wewe una akili mtambuka basi jua mpo 100,ila wenye kujiongeza hamzidi 15🙏
 
Mchango wa hovyo sana huu, mstaafu akipewa pesa yake ikaila imaisha inakuhusu nini,? Leo ccm wanajifanya wanapenda wastaafu , ujinga mtupu wapeni pesa zao acheni wizi
😂😂😂😂😂
Mkuu hao hao ndo wanaoiwezesha Ccm kuendelea kutawala.Wao na ccm ni damu damu.
Ukinikandia mm unanionea tu mkuu.

Acha wakomae tu,maana hawasemi bali wanapiga vifijo na ndelemo.
Ila wanalalamika gizani tu.
 
😂😂😂😂😂
Mkuu hao hao ndo wanaoiwezesha Ccm kuendelea kutawala.Wao na ccm ni damu damu.
Ukinikandia mm unanionea tu mkuu.

Acha wakomae tu,maana hawasemi bali wanapiga vifijo na ndelemo.
Ila wanalalamika gizani tu.
Nimekuelewa mkuu ,hacha wakome
 
Kikokotoo ni pigo kubwa sana kwa wafanyakazi
 
Umeandika mengi, ila ni upupu mtupu usio na muelekeo wowote. Mfumo wenyewe wa pension tumekopi huko Magharibi unapofikiria hawajui vizuri.
 
Serikali ya CCM imefanya vibaya sana ku monopolize sector ya pension. Ilitakiwa kuwe na mifuko ya kisekta au kutaaluma ya pension na hata ya binafsi inayofanya ushindani kibiashara halafu raia wachague wenyewe mfuko wa kujiunga nao.
 
Pensheni ni scam na wizi wa waziwazi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Hivi hesabu hizi zinawagusa Wanajeshi na polisi?
Kisha wako kimya tuu wanangoja wakastaafu na kurudi kijijini au kuishi mjini na kuwa night watchmen wa vibaka wa CCM?
HILI LIMBWATA SIJUI WALILITOA WAPI HAWA CCM!
 
Umeandika mengi, ila ni upupu mtupu usio na muelekeo wowote. Mfumo wenyewe wa pension tumekopi huko Magharibi unapofikiria hawajui vizuri.
Wapi nimesema huko magharibi hawajui vizuri? Zaidi ya kuelezea approach mbili tu pensions schemes.

Mmoja ni stable ambao malipo yake ni uhakika huo ndio serikali inaowapa wafanyakazi. Mwingine ni risky malipo yake sio guarantee na hela yote inaweza potea huo ndio mfumo unaoweza lipa hela yote muda ukifika.

Mwisho wa siku pension funds zote lazima zizungushe hela yao mmoja mwajiri yupo tayari kulipia pension ata investment ikipata hasara, mwingine mwajiri ahusiki hela ikipotea.

Serikali ya Tanzania ina wadekeza sana watumishi, dawa yao hawa ni kuruhusu mifuko itakayowapa hayo malipo wanayotaka wakistaafu wabebe hizo risk wenyewe hela ikipotea ndio wajue kumbe kuna risks kwenye hayo mambo. Watumishi wa umma wao wanaona kila kitu rahisi tu kwenye hii dunia.
 
Nifanyie hesabu:

Mshahara 2,800,000 kukaa nao miaka mitano
Miaka 31
 
Nifanyie hesabu:

Mshahara 2,800,000 kukaa nao miaka mitano
Miaka 31
Hesabu ndefu

Mshahara wa mwaka = (2800000x12)
Time benefit = 12.5 years
Years of contribution = 31
Commuted (paid lump sum) = 33%

Annual Entitlement = (2800000x12)x 31 x 1/580= 1,795,862

Total entitlement = 1795862 x 12.5 = 22,448,276

Payable lump sum = 22448276 x 0.33 = 7,407,931

Remaining pension for 12.5 years = 22448276 - 7407931 = 15,040,345

Kwa mwaka = 15040345/12.5 = 1,203,228

Pension kwa mwezi = 1203228/12 = 100,268

Shida kubwa ni hayo malipo 1/580 (0.17%) of career average revalued earnings (CARE) ni ndogo sana fair ni 1-2%. Hayo sasa madhara ya kuchezea hela kwenye kufanya investments mbofu mbofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…