Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

Nisaidie kupiga napata ngapi Mimi Nina mshahara milioni 5, muda miaka 34
 
Ngoja nkapitie makabrasha yangu ntawaletea nondo za uhakika kutoka psssf doc
 
Serikali Inapopigana Vita Vya Uchumi Na Waajiriwa Wake Imekusudia Kuwauwa
 
Nisaidie kupiga napata ngapi Mimi Nina mshahara milioni 5, muda miaka 34
Mleta mada ameweka formuła ni kitu kiłę kiłę

Lump sum = 1/580 x (34 x 60,000,000)x 12.5 x 33% = 14,508,621

Remaining pension = 1/580 x (34 x 60,000,000 x 12.5) x 0.67 = 29,456,897

Monthly = (29,456,897/12.5)*1/12 = 196,379
 
Lazima hujazidisha Kwa 10, kwenye figure
 
Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbua
 
Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbua
Ujinga wangu uko wapi labda mkuu🤔.Nada inasemaje kwani.

Au hujasoma maudhui ya mleta mads
Mbona wastaafu wa zaman wanalipwa kila mwezi ila ujinga ndo unaokusumbua
Ujinga wangu uko wapi mkuu,au umeelewa Uzi inasemaje na Mimi nimekoment nn labda.

Soma Kwanza Uzi.Afu ndo uweze kuniambia kama Nina ujinga ama wewe ndo mjinga ambaye hajaelewa Uzi unazungumzia nn
 
Personal attack inakusaidia nn? Kwani kikokotoo ni cha walimu tu?
 
Tatizo ni kuwa,
Wanaofanya maamuzi ya kikokotoo wenyewe hawakitumii (hakiwahusu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…