DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
πππUnajua sijui kama wewe ni dr au mwehu na mnahangaika sana kulazimisha majina ya hovyoo sijakuomba utoe maoni ya kilazima acha ila lazima mtu ajisikie hopeless kama mtu unayemwona anakudhamini kumbe anakuchora tu
Kachezea njiti ya kiberiti karibu na petrol πππ π π
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu nilikuambia toka jana, unaona sasa uneanzishiwa na uzi???
Mimi mbona jana nimepewa mipasho na wewe ukafurahi,,,bahati nzuri huwa sio mtu wa kumaind mambo madogo mumyKuna kitu nimejifunza
Mtu wangu wa karibu humu akiambiwa neno baya sitakiwi kureact chochote iwe kucheka au kulike
Mipasho ilikustairi! Kama vipi nimuite tena akushushueπMimi mbona jana nimepewa mipasho na wewe ukafurahi,,,bahati nzuri huwa sio mtu wa kumaind mambo madogo mumy
Kala ban?Kachezea njiti ya kiberiti karibu na petrol ππ
moto umelipuka huku.
Muite tu,,,lkn haindoi upendo wangu kwako,,,tena ikiwezekana waje wengiMipasho ilikustairi! Kama vipi nimuite tena akushushueπ
kwa kosa gan?Kala ban?
Nakuuliza maana ulivyo ni quote hapo nikajua kapigwa BANkwa kosa gan?
Ndugu yangu makaveli10 ananipenda kuliko wewe!Muite tu,,,lkn haindoi upendo wangu kwako,,,tena ikiwezekana waje wengi
huoni kaanzishiwa na uzi murua kabisa,,bado wewe hakika,, subiri tuNakuuliza maana ulivyo ni quote hapo nikajua kapigwa BAN
πππhuoni kaanzishiwa na uzi murua kabisa,,bado wewe hakika,, subiri tu
nikupe promo sio,,kwanza hata sijui wanaanzia wapπππ
Nianzishie basi uzi na wewe
Hata nashtuka bas acha ahangaike akichoka ataaacha
Mi focus ni yule wa Jana alienipa location, hapa kila baada ya nusu saa naenda mitaa ileπ π π
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu nilikuambia toka jana, unaona sasa uneanzishiwa na uzi???
eti wewe huna afya na umepauka,, nimelia sanaHata nashtuka bas acha ahangaike akichoka ataaacha