Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Ila kusema cha ukweli nimesoma hata sijaelewa. Mleta mada na wewe hata hueleweki ulichoandika, ndomana wanakuita garasa 😂

Hebu soma mwenyewe uone...
 
SweetyCandy mamii pole sana but huyo anakuonea wivu ndio maana anakuita majina ya ovyo but mpotezee hakuongezei chochote kwenye maisha yako fanya unachoona kinakupa amani ya moyo wanadamu wasikurudishe nyuma, jipende kwanza wewe, jipe thamani wewe automatically nao watakuja kuheshimu.
 
Post yako namba 45 na post namba 48. Nipe huo ubavu niumiliki 🤗🤗🤗
ishu ile ile ya mguu alotuma jamvini au kuna kingine au umewaza mguu gani🙄🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom