Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

SweetyCandy mamii pole sana but huyo anakuonea wivu ndio maana anakuita majina ya ovyo but mpotezee hakuongezei chochote kwenye maisha yako fanya unachoona kinakupa amani ya moyo wanadamu wasikurudishe nyuma, jipende kwanza wewe, jipe thamani wewe automatically nao watakuja kuheshimu.
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom