Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Kuna kitu nimejifunza
Mtu wangu wa karibu humu akiambiwa neno baya sitakiwi kureact chochote iwe kucheka au kulike
Sasa wewe usireact kwa yeyote.
Una wachumba 70
Michepuko 100
Mabwana 30
Maboss zako 10
Mawifi na shemeji 50

JF nzima. Cheka kwenye yangu. Mimi sikutaki.
 
Alooh anaharibu kabisaaa, Mzee mwenzangu anataka kukuharibia kwenye gari la mishahara ya BOT, TRA, TANAPA, TAKUKURU, BANDARI. 🤣🤣🤣
we nawe umetokea wapi tena 😂
 
Back
Top Bottom