SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
- Thread starter
- #121
Ni meshahama humu kitambooSweetyCandy kipenz,,,dont take things personal,,jifunze kudharau mambo,,kama kuna mtu anakuchukulia poa,,atatokea mwengine atakufanya kipaumbele chake
Kuna sweet guys around here labda bado tu huja wajua,,so usipoteze mda wako na nguvu yako kwa mtu ambaye hana mda na wewe,,wekeza hisia zako kwa mtu anayestahili upendo wako
Be patient mda wako utakuja