Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

Maua 🌸🌸🌼 ya kipekee sijui kapotelea wapi siku hizi.
 
Sio kwamba alikua anataka kunifurahisha ila yeye hunifurahisha kila siku
Jana alifanya kukufurahisha,namuheshimu sana kama mshenga wangu,,lkn sikutegemea kama gentleman aseme maneno yale
 
Mwambie nafasi imejaa, hivyo awe mpole. 1 ni 1 tu, ukiiSQUARE bado ni moja tu, mwambie ze chance yu a lukin for iz okopaid bai makaveli, plizi try anadha plesi. 😄 🤣
Anaumia, muoneshe shimo la choo apige mchomo humo, au tumpe pupa la tindikali ajichovye 😄 🤣
Ndugu yangu! Mtu akinichokoza lazima nikuite uje kumpa vipande vyake😂
Mzaramo si mzaramo mpemba si mpemba
 
SweetyCandy kipenz,,,dont take things personal,,jifunze kudharau mambo,,kama kuna mtu anakuchukulia poa,,atatokea mwengine atakufanya kipaumbele chake

Kuna sweet guys around here labda bado tu huja wajua,,so usipoteze mda wako na nguvu yako kwa mtu ambaye hana mda na wewe,,wekeza hisia zako kwa mtu anayestahili upendo wako

Be patient mda wako utakuja
 
Back
Top Bottom