Kwa kilichomtokea Niffer, naanza kupata mashaka kuhusu mafanikio ya kipesa ya hawa celebrity entrepreneurs wetu wa kibongo

Unakumbuka yule Demu aliyechomwa kisu Mwaka huu Kule Goba?

Walisemw hivyo hivyo....ni Mpambanaji.

Kwa mimi ambaye nawajua wanawake vizuri naelewa sana

Cerebrities ndio kazi zao. Show off pia ni kazi.

Wema alikuwa akizawadiwa Ma range na maprado siku za Biryhday.....Uwo ndio alikuwa hatari.

Tuendelee kupambana na maisha tupate ugali wetu.
 
Hao masupastaa wenu niliacha kuwaamini siku nawakuta wananunua chips vumbi usiku mchana wanatamba kwenye TV zetu.
Juzi kati nimepita makongo nimekutana na ugomvi kati ya dereva bajaji na Hemed PHD wanazozana kisa Hemed kashindwa kulipa nauli ya bajaji ambayo ni shilingi elfu 7,yeye alikua anaforce kulipa elfu 3.nikajisemea huyu jamaa si huwa anajimwambafai kuwa yuko vizuri kiuchumi iweje ashindwe kulipa elfu 7!
 
Kukosa Exposure
 

Yanga Bingwa”
 
Hata Billgates na utajiri wake wote bado anachangisha ela ili kufanya shughuli za hisani.
 
Mtu gani afanye hivyo mtz au πŸ˜„

Ova
 
Wabongo wanababaika na majina..wakiambiwa changa/toa wanatoaaaa

Ova
 
Andiko zuri sana,

Hao ni mabilionea wa show off kwenye socia media.

Pesa haitaki kelele!
 
Kwa uzuri alionao Niffer ningekuwa nae ningemkabidhi ATM yangu Mshahara wangu awe anapokea yeye, mm kazi yangu ni moja tu.. ! kula papuchi basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…