Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

Nakala nzuri sana hii. Hata mimi kwenye uzi mwingine nimeandika hivi hivi tu. Hakuna haja ya Kenya kufanya mambo ili kufurahisha jirani mkorofi mwenye wivu na hasira. Wacha kila mtu akae kwao.

eliakeem,
 
Kitu ambacho wengi kama wewe hawakijui, ni kuwa kenya has two worlds. The first world (a small group) which comprises the majority whites and few Afrikan elites. This group of people can order anything (as you have said) from anywhere in this world. Actually, this group is of the upper income people. Another world (a bigger group) is the one which comprises majority of Afrikans. This group is poor. Some members of this group can even not afford a mill of a day. So, the thinking of that kenya comprises of rich people is illusion.
Give us the exact population of whites living in Kenya.

Give us their wealth status too. Unadhani Kenya ni South Africa?? Rudia historia
 
Acha ujinga! Give us the exact population of whites living in Kenya.

Give us their wealth status too. Unadhani Kenya ni South Africa?? Rudia historia
Katika soma yako yote wewe hujui ni nchi zipi zilizokuwa na settler economy iliyotegemea sana large scale agriculture? Ni nchi ipi ambayo ilikuwa na settler economy ambayo ilifanikiwa kurudisha ardhi yake kwa wazawa? Zimbabwe ilijaribu na kama unafuatilia mambo unajua kilichompata mzee Jongwe licha ya kwamba hakurudi nyuma. Ila sasa Mnangagwa anamuangusha mzee Jongwe.

To cut the story short, Kenya ni miongoni mwa nchi ambazo ardhi kubwa ambayo ni arable inamilikiwa na Whites like Lord Dalamere and few Afrikan elites like Kenyata, Moi etc.

Kitu ambacho baba wa Taifa la Tanzania alikataa, under East Afrikan Royal Commission Report of 1953 alisema namnukuu, "allowing the land to be sold like rob will lead to Whites and few Afrikan elites to own large and fertile tracts of land while the majority Afrikans to be landless". Yote ambayo aliyakataa baba wa Taifa kipindi kile ndicho kinachowatesa nchi kama Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya n.k.
 
Nakala nzuri sana hii. Hata mimi kwenye uzi mwingine nimeandika hivi hivi tu. Hakuna haja ya Kenya kufanya mambo ili kufurahisha jirani mkorofi mwenye wivu na hasira. Wacha kila mtu akae kwao.

Aha ha haa

Kitu ambacho mnapaswa kuishi nacho ni kujua ya kuwa waTanzania wa leo siyo wa Mwaka 1947. Hiki ni kizazi kingine kabisa. Hata mpaka binafsi nakuwa na hofu jinsi gani tutadumisha mirengo na mitazamo ya Ujamaa na Kujitegemea. Kwa hiyo ni vizuri mumeanza kujipanga kiakili namna ya kukubaliana kutokubaliana likija suala la kushughulikia mambo pamoja na Tanzania.
 
Nyie hatuwataki tena. Mambo yenu tumemaliza. Kaeni huko kwenu. Maisha yetu itaendelea kama kawaida. Watu wa miwivu na revenge.
 
Mbona mmenyoosha mikono juu mapema hivyo? Si ni nyie kenya manajisifia ni wapambanaji sana? Sasa ndio nini mnafyata mkia mapema hivyo hata bado disco halijakolea?

Hahaha the bad thing ni kwamba, ukarimu wetu ndio silaha yetu. Hamna ujanja..inabidi mkae kwa kutulia tu. Show tunaendesha sisi. Mkijigusa tena tunajua wapi pa kupiga zaidi.

We are watching.
 
Katika soma yako yote wewe hujui ni nchi zipi zilizokuwa na settler economy iliyotegemea sana large scale agriculture? Ni nchi ipi ambayo ilikuwa na settler economy ambayo ilifanikiwa kurudisha ardhi yake kwa wazawa? Zimbabwe ilijaribu na kama unafuatilia mambo unajua kilichompata mzee Jongwe licha ya kwamba hakurudi nyuma. Ila sasa Mnangagwa anamuangusha mzee Jongwe.

To cut the story short, Kenya ni miongoni mwa nchi ambazo ardhi kubwa ambayo ni arable inamilikiwa na Whites like Lord Dalamere and few Afrikan elites like Kenyata, Moi etc.

Kitu ambacho baba wa Taifa la Tanzania alikataa, under East Afrikan Royal Commission Report of 1953 alisema namnukuu, "allowing the land to be sold like rob will lead to Whites and few Afrikan elites to own large and fertile tracts of land while the majority Afrikans to be landless". Yote ambayo aliyakataa baba wa Taifa kipindi kile ndicho kinachowatesa nchi kama Afrika Kusini, Zimbabwe, Kenya n.k.
Swali langu ni rahisi, wala halihitaji ngonjera. Hivi ukisema Elites unajua hao ni kina nani? Unaongea kama mtu anayeishi takriban miongo 8 zilizopita. Unanikumbusha pan-Africanism.

Whites wangapi wanamiliki mashamba ya chai Kenya? Kahawa? Ngano? Tembea kwanza. Vinginevyo, jua tupo 21st century. Usiongee kama mkongwe!
 
Mbona mmenyoosha mikono juu mapema hivyo? Si ni nyie kenya manajisifia ni wapambanaji sana? Sasa ndio nini mnafyata mkia mapema hivyo hata bado disco halijakolea?

Hahaha the bad thing ni kwamba, ukarimu wetu ndio silaha yetu. Hamna ujanja..inabidi mkae kwa kutulia tu. Show tunaendesha sisi. Mkijigusa tena tunajua wapi pa kupiga zaidi.

We are watching...
Nyie hamna ukarimu wowote.
 
Teh..Tanzania ni moja! Wote ni ndugu. Tuna upendo na ukarimu sana kwa wageni...shida mtu akichukulia ukarimu wetu na upole kama ni udhaifu hapo ndio moto unapomuwakia.
Nyie mkishajua kuwa mtu fulani ni Mkenya mnaanza kumchukia hata kama hajafanya jambo lolote. Mna chuki kubwa kwa Wakenya.
 
Hamna bana, sisi wapole hivi mnatukimbia.
Huyo rais wenu akiondoka 2025 halafu mupate rais mstaarabu, muungwana kama rais mpendwa Jakaya Kikwete, mwanadiplomasia mashuhuri ndio tutaanza kuongea tena. Kwa sasa hamna haja ya kulazimisha mahusiano kama yamekataa.
 
Nyie mkishajua kuwa mtu fulani ni Mkenya mnaanza kumchukia hata kama hajafanya jambo lolote. Mna chuki kubwa kwa Wakenya.

Mbona hata sasa wako wakenya kibao tu huku bongo na tunaishi nao vizuri tu kwa upendo? Wapo Dar, Dodoma, Moshi na Arusha...wapo wengi sana wana enjoy maisha fresh tu hakuna chuki wala nini.
 
Huyo rais wenu akiondoka 2025 halafu mupate rais mstaarabu, muungwana kama rais mpendwa Jakaya Kikwete, mwanadiplomasia mashuhuri ndio tutaanza kuongea tena. Kwa sasa hamna haja ya kulazimisha mahusiano kama yamekataa.

Nyie si mlikuwa mnamtukana, waziri tu anaanza kumtukana. Sasa kwa taarifa yenu, yule sisi ndiyo tunampenda. Atatoka akizeeka kabisa.
 
Huyo atawapoteza. Jinsi ananuna hadi anakosana na kila nchi kuanzia majirani hadi nchi za kigeni. Mtakuja kujuta sana. Urafiki na udiplomasia ni jambo la maana sana. Lakini hii reciprocity policy ambayo mumeanza kufuata itawacosti sana. Hebu pelekeni hio kiherehere yenu ya reciprocity kwa Marekani muone jinsi mtapigwa sanctions za kufa mtu hadi mutembee kwa magoti mkiomba msamaha.
 
eliakeem,

Mkuu,

Eliakeem,naona unakunya barabara halafu unayaangalia mavi unaanza kuyacheka!

Mkuu,hizi negative sentiments wanazijenga majirani towards wewe,no matter who is right,kidiplomasia ni hasara...

Ndio maana nchi mbalimbali duniani wanatenga bajeti ya mabilioni ya dollars kujenga soft power kama magnet kuvuta mataifa mengine na kujenga mtazamo positive na haya mataifa...

Kenya akiwa na ugomvi na wewe,sio Kenya pekee yake,Kenya ana nchi ana influence nazo,atazigeuza against you!

Hapo ni heri kama tungekua tunagombana na Kenya kama Kenya alone,ni rahisi

Kenya atatumia his influence and soft power kukupa wakati mgumu unapotafuta kuungwa mkono na mataifa mengine kwa lolote lile ulitakalo..

Too bad,Africa Mashariki Kenya ndio leader on everything,tegemea kupata wakati mgumu sana even hata kufanya kazi na wengine maana Kenya ana soft power ya kuwageuza against you!

Unaona Wakenya wana negative sentiments against Tanzania halafu wewe unachekelea kama lijuha vile!

Sijui tutakuja kupata akili lini ya kula na kipofu!

We are still sleeping!
 
Back
Top Bottom